The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 5,465
- 17,307
Yes sir. Dakika moja hadi 2 uko upande wa pili.500???
500???
Kama hiyo habar ni kweli, tunamuomba Rais JPM amuunge mkono ndugu Barkhesa kwa mawazo mazuri na endelevu kama hayo kwa watanzania.Azam wanafanya majaribio ya boti zao ndogo toka posta kwenda kigamboni, inabeba watu tu dakika 2 ushavuka. Wanadai wanafanya majaribio ili wiki ijayo waanze boti ndogo za mwendo kasi kwa nauli ya shs 500.
Pia wametangaza wataanzisha boti toka kijichi hadi posta kwa wakazi wa mbagala.
Hii itaokoa muda na kuwarahisishia wakazi wa maeneo hayo usafiri maana kwa sasa kuishi kigamboni ni sawa na kuwa kuzimu ndogo. Pantoni inaweza kumaliza masaa 3 iko upande mmoja.
Hongera azam.
Daraja liko kwa ajili ya magari na watu pia soma vizur uzi wa mtoa mada ameandika hizo boti ni kwa ajili ya watu tu.Imekaa vizuri sana kwa hiyo lile daraja litakua kwa ajili ya kupiga picha tuu maana mpaka sasa inaonekana sio msaada tena kwa wakazi wa huko...
300Tufanye shilling ngapi mkuu?? Maana naona 500 umehamaki kweli kweli
Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
Usalama wa wasafiri vipi? Acha mambo ya wafanyabiashara na faida ya haraka. Vitatumbukia majini wakati hakuna uokozi !Azam wanafanya majaribio ya boti zao ndogo toka posta kwenda kigamboni, inabeba watu tu dakika 2 ushavuka. Wanadai wanafanya majaribio ili wiki ijayo waanze boti ndogo za mwendo kasi kwa nauli ya shs 500.
Pia wametangaza wataanzisha boti toka kijichi hadi posta kwa wakazi wa mbagala.
Hii itaokoa muda na kuwarahisishia wakazi wa maeneo hayo usafiri maana kwa sasa kuishi kigamboni ni sawa na kuwa kuzimu ndogo. Pantoni inaweza kumaliza masaa 3 iko upande mmoja.
Hongera azam.
Kwa taarifa yako serikali imeingia mkataba maalum na Azam kufanya shughuli hiyo kwa muda kwakua vivuko vinaenda matengenezoni Mombasa! Na ilitangazwa!Azam wanafanya majaribio ya boti zao ndogo toka posta kwenda kigamboni, inabeba watu tu dakika 2 ushavuka. Wanadai wanafanya majaribio ili wiki ijayo waanze boti ndogo za mwendo kasi kwa nauli ya shs 500.
Pia wametangaza wataanzisha boti toka kijichi hadi posta kwa wakazi wa mbagala.
Hii itaokoa muda na kuwarahisishia wakazi wa maeneo hayo usafiri maana kwa sasa kuishi kigamboni ni sawa na kuwa kuzimu ndogo. Pantoni inaweza kumaliza masaa 3 iko upande mmoja.
Hongera azam.
Watu wamewauliza hilo swali kua huu mradi utakua ni wa muda gani wakasema ni endelevu maana kuanzia wiki ijayo kutakua na dirisha maalum la hizo boti na nauli yake ni hiyo shs 500.Kwa taarifa yako serikali imeingia mkataba maalum na Azam kufanya shughuli hiyo kwa muda kwakua vivuko vinaenda matengenezoni Mombasa! Na ilitangazwa!
Morogori ni wp boss?Watu wamewauliza hilo swali kua huu mradi utakua ni wa muda gani wakasema ni endelevu maana kuanzia wiki ijayo kutakua na dirisha maalum la hizo boti na nauli yake ni hiyo shs 500.
Binafsi nimefurahi sana kama huduma kama hiyo itakuwepo ya kudumu maana pantoni ni shida. Unaweza kufika aple feri mtu akatoka dar hadi morogori wewe hujavuka kwenda kigamboni.
Mimi nimeona hata wakikweka 1000 sio mbaya kama una uhakika wa kufika tu na kuvuka.
Naona umeanza kuagua kwa mabao.Usalama wa wasafiri vipi? Acha mambo ya wafanyabiashara na faida ya haraka. Vitatumbukia majini wakati hakuna uokozi !