Hongera Azam kwa kuwarahisishia wakazi wa Kigamboni maisha(Azam mwendokasi)

The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
5,421
17,018
Azam wanafanya majaribio ya boti zao ndogo toka posta kwenda kigamboni, inabeba watu tu dakika 2 ushavuka. Wanadai wanafanya majaribio ili wiki ijayo waanze boti ndogo za mwendo kasi kwa nauli ya shs 500.

Pia wametangaza wataanzisha boti toka kijichi hadi posta kwa wakazi wa mbagala.

Hii itaokoa muda na kuwarahisishia wakazi wa maeneo hayo usafiri maana kwa sasa kuishi Kigamboni ni sawa na kuwa kuzimu ndogo. Pantoni inaweza kumaliza masaa 3 iko upande mmoja.

Hongera Azam.
 
Azam wanafanya majaribio ya boti zao ndogo toka posta kwenda kigamboni, inabeba watu tu dakika 2 ushavuka. Wanadai wanafanya majaribio ili wiki ijayo waanze boti ndogo za mwendo kasi kwa nauli ya shs 500.
Pia wametangaza wataanzisha boti toka kijichi hadi posta kwa wakazi wa mbagala.

Hii itaokoa muda na kuwarahisishia wakazi wa maeneo hayo usafiri maana kwa sasa kuishi kigamboni ni sawa na kuwa kuzimu ndogo. Pantoni inaweza kumaliza masaa 3 iko upande mmoja.

Hongera azam.
Kama hiyo habar ni kweli, tunamuomba Rais JPM amuunge mkono ndugu Barkhesa kwa mawazo mazuri na endelevu kama hayo kwa watanzania.
Mana wazee wa 10% hawachelewi kuanza fitna.
 
Imekaa vizuri sana kwa hiyo lile daraja litakua kwa ajili ya kupiga picha tuu maana mpaka sasa inaonekana sio msaada tena kwa wakazi wa huko...
Daraja liko kwa ajili ya magari na watu pia soma vizur uzi wa mtoa mada ameandika hizo boti ni kwa ajili ya watu tu.
 
Azam wanafanya majaribio ya boti zao ndogo toka posta kwenda kigamboni, inabeba watu tu dakika 2 ushavuka. Wanadai wanafanya majaribio ili wiki ijayo waanze boti ndogo za mwendo kasi kwa nauli ya shs 500.
Pia wametangaza wataanzisha boti toka kijichi hadi posta kwa wakazi wa mbagala.

Hii itaokoa muda na kuwarahisishia wakazi wa maeneo hayo usafiri maana kwa sasa kuishi kigamboni ni sawa na kuwa kuzimu ndogo. Pantoni inaweza kumaliza masaa 3 iko upande mmoja.

Hongera azam.
Usalama wa wasafiri vipi? Acha mambo ya wafanyabiashara na faida ya haraka. Vitatumbukia majini wakati hakuna uokozi !
 
Azam wanafanya majaribio ya boti zao ndogo toka posta kwenda kigamboni, inabeba watu tu dakika 2 ushavuka. Wanadai wanafanya majaribio ili wiki ijayo waanze boti ndogo za mwendo kasi kwa nauli ya shs 500.
Pia wametangaza wataanzisha boti toka kijichi hadi posta kwa wakazi wa mbagala.

Hii itaokoa muda na kuwarahisishia wakazi wa maeneo hayo usafiri maana kwa sasa kuishi kigamboni ni sawa na kuwa kuzimu ndogo. Pantoni inaweza kumaliza masaa 3 iko upande mmoja.

Hongera azam.
Kwa taarifa yako serikali imeingia mkataba maalum na Azam kufanya shughuli hiyo kwa muda kwakua vivuko vinaenda matengenezoni Mombasa! Na ilitangazwa!
 
Watu wamewauliza hilo swali kua huu mradi utakua ni wa muda gani wakasema ni endelevu maana kuanzia wiki ijayo kutakua na dirisha maalum la hizo boti na nauli yake ni hiyo shs 500.

Binafsi nimefurahi sana kama huduma kama hiyo itakuwepo ya kudumu maana pantoni ni shida. Unaweza kufika aple feri mtu akatoka dar hadi morogori wewe hujavuka kwenda kigamboni.

Mimi nimeona hata wakikweka 1000 sio mbaya kama una uhakika wa kufika tu na kuvuka.
 
Morogori ni wp boss?
 
30 Reactions
Reply
Back
Top Bottom