The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 5,452
- 17,156
Azam wanafanya majaribio ya boti zao ndogo toka posta kwenda kigamboni, inabeba watu tu dakika 2 ushavuka. Wanadai wanafanya majaribio ili wiki ijayo waanze boti ndogo za mwendo kasi kwa nauli ya shs 500.
Pia wametangaza wataanzisha boti toka kijichi hadi posta kwa wakazi wa mbagala.
Hii itaokoa muda na kuwarahisishia wakazi wa maeneo hayo usafiri maana kwa sasa kuishi Kigamboni ni sawa na kuwa kuzimu ndogo. Pantoni inaweza kumaliza masaa 3 iko upande mmoja.
Hongera Azam.