Abiria 140. Kwanini September?
Wazee wa fitna wakiona hivi wanawashwa washwa...
Machozi yamenitoka..... Sawa ana
mapungufu yake lakini anapiga kazi.
Tumuunge mkono, hii nchi ni yetu
sote. Majungu na fitna za nini..
Hapa inabidi niwatetee moderators, kwani hii siyo biashara?Moderator nani kawaambia hii ni thread ya biashara? Au ndio mnaileta huku ikose wachangiaji? Acheni mambo yenu ya ajabu ajabu, mnafikiri na uzoefu wote humu JF sijui thread gani niiweke wapi? Kama hamna kazi ingine ya kufanya endeleeni na huu ujinga.
Cc Maxence Melo
Ujumbe hapa zaidi ni biashara. Weka uzi mwengine uwe wa siasa zaidi kuliko biashara.Ni mchanganyiko ,soma katikati ya mistari utaona nimeweka na siasa kijanja.
Umetokwa machozi?Wazee wa fitna wakiona hivi wanawashwa washwa...
Machozi yamenitoka..... Sawa ana
mapungufu yake lakini anapiga kazi.
Tumuunge mkono, hii nchi ni yetu
sote. Majungu na fitna za nini..
Abiria waliolipa nauli walikua 100. September kwa sababu ndo nauli halisi itakua imeanza kutumika, Kwa sasa nauli wanaotumia ni ya promotion.Abiria 140. Kwanini September?
Moderator watajuaje kua wewe sio staff wa Atcl na unafanya marketing ya biashara yenu? Kwa maoni yangu wako sawaModerator nani kawaambia hii ni thread ya biashara? Au ndio mnaileta huku ikose wachangiaji? Acheni mambo yenu ya ajabu ajabu, mnafikiri na uzoefu wote humu JF sijui thread gani niiweke wapi? Kama hamna kazi ingine ya kufanya endeleeni na huu ujinga.
Cc Maxence Melo
Maxence Melo moderators uliowaweka wengi ni partisan. Waachagua nyuzi za kuzichinjia baharinin zipi zionekane. Comment yangu hii sidhani kama itadumu.Moderator nani kawaambia hii ni thread ya biashara? Au ndio mnaileta huku ikose wachangiaji? Acheni mambo yenu ya ajabu ajabu, mnafikiri na uzoefu wote humu JF sijui thread gani niiweke wapi? Kama hamna kazi ingine ya kufanya endeleeni na huu ujinga.
Cc Maxence Melo
Aiseee..... We si ndo umewaambia waweke wanapopenda..!!!Moderator nani kawaambia hii ni thread ya biashara? Au ndio mnaileta huku ikose wachangiaji? Acheni mambo yenu ya ajabu ajabu, mnafikiri na uzoefu wote humu JF sijui thread gani niiweke wapi? Kama hamna kazi ingine ya kufanya endeleeni na huu ujinga.
Cc Maxence Melo