Hongera ATCL

That was inaugural flight, ambayo imeruka na watu 100 (abiria). Kuanzia September tujulishane maendeleo yakoje.
 
Wazee wa fitna wakiona hivi wanawashwa washwa...

Machozi yamenitoka..... Sawa ana

mapungufu yake lakini anapiga kazi.

Tumuunge mkono, hii nchi ni yetu

sote. Majungu na fitna za nini..
Umetokwa machozi?
 
Moderator nani kawaambia hii ni thread ya biashara? Au ndio mnaileta huku ikose wachangiaji? Acheni mambo yenu ya ajabu ajabu, mnafikiri na uzoefu wote humu JF sijui thread gani niiweke wapi? Kama hamna kazi ingine ya kufanya endeleeni na huu ujinga.
Cc Maxence Melo
Moderator watajuaje kua wewe sio staff wa Atcl na unafanya marketing ya biashara yenu? Kwa maoni yangu wako sawa
 
Moderator nani kawaambia hii ni thread ya biashara? Au ndio mnaileta huku ikose wachangiaji? Acheni mambo yenu ya ajabu ajabu, mnafikiri na uzoefu wote humu JF sijui thread gani niiweke wapi? Kama hamna kazi ingine ya kufanya endeleeni na huu ujinga.
Cc Maxence Melo
Maxence Melo moderators uliowaweka wengi ni partisan. Waachagua nyuzi za kuzichinjia baharinin zipi zionekane. Comment yangu hii sidhani kama itadumu.
 
Moderator nani kawaambia hii ni thread ya biashara? Au ndio mnaileta huku ikose wachangiaji? Acheni mambo yenu ya ajabu ajabu, mnafikiri na uzoefu wote humu JF sijui thread gani niiweke wapi? Kama hamna kazi ingine ya kufanya endeleeni na huu ujinga.
Cc Maxence Melo
Aiseee..... We si ndo umewaambia waweke wanapopenda..!!!
 
Back
Top Bottom