honey mfungwa ametoroka jela.....!!!!

honey mfungwa ametoroka jela.....!!!!

david mkwizu

Member
Joined
Jul 31, 2011
Posts
29
Reaction score
9
jamaa mmoja alifanikiwa kuoa mdada ambae alikua hajawahi kufanya kabisaaa mambo yetu yalee..! yani I mean alikua b*kra..!!!
sasa kabla ya kufanya kile kitendo mkewe akamwambia " jack hebu nieleze ni nini hasa tunaenda kufanya na kinafanywaje..?"
jack kwa ujasiri mwingi kama wanavyokuaga watoto wengi wa kiume akaanza kumuelezea kua.."..ni kama hivi yani sehemu yako ya siri ni kama gereza na sehemu yangu ni kama mfungwa.. sasa mchezo wenyewe ni wa kumuweka mfungwa gerezani.."yule dada akakubali bwana.. wakaanza mambo yetu yale.. jamaa akatoka kwenye round ya kwanza..! alipokua mapumziko..! akaona mkewe analalamika kua mfungwa ametoroka gerezani.. jamaa akaigia tena round nyingine..! baada ya round ya pili. jamaa ameanza kuchoka huyu mama akawa ameanza kufurahia kamuchezo..! akawa analia anasema.."jamani jack mfungwa ametoroka tena..." jack akaingia round ya tatu..! alipokua kwenye mapumziko baada ya kazi ngumu..! akasikia tena yf analia kua mfungwa ametoroka..! ah jamaa akamwambia mkewe kua "mamaa mfungwa hakupewa kifungo cha maisha jela....!!!!!!!?
 
Marudio ila sio mbaya! ni nzuri tu imetulia
 
jamaa mmoja alifanikiwa kuoa mdada ambae alikua hajawahi kufanya kabisaaa mambo yetu yalee..! yani I mean alikua b*kra..!!!<br />
sasa kabla ya kufanya kile kitendo mkewe akamwambia &quot; jack hebu nieleze ni nini hasa tunaenda kufanya na kinafanywaje..?&quot;<br />
jack kwa ujasiri mwingi kama wanavyokuaga watoto wengi wa kiume akaanza kumuelezea kua..&quot;..ni kama hivi yani sehemu yako ya siri ni kama gereza na sehemu yangu ni kama mfungwa.. sasa mchezo wenyewe ni wa kumuweka mfungwa gerezani..&quot;yule dada akakubali bwana.. wakaanza mambo yetu yale.. jamaa akatoka kwenye round ya kwanza..! alipokua mapumziko..! akaona mkewe analalamika kua mfungwa ametoroka gerezani.. jamaa akaigia tena round nyingine..! baada ya round ya pili. jamaa ameanza kuchoka huyu mama akawa ameanza kufurahia kamuchezo..! akawa analia anasema..&quot;jamani jack mfungwa ametoroka tena...&quot; jack akaingia round ya tatu..! alipokua kwenye mapumziko baada ya kazi ngumu..! akasikia tena yf analia kua mfungwa ametoroka..! ah jamaa akamwambia mkewe kua &quot;mamaa mfungwa hakupewa kifungo cha maisha jela....!!!!!!!?
<br />
<br />
aha aha aha kwa hiyo mfungwa alifungwa miaka mitatu,imetulia sana mkuu
 
Kwi kwi kwi!
Kwa kwa kwa kwa! Kwa kwa kwa kwa! Kwa kwa kwa kwa! Kwa kwa kwa kwa!
 
Mmhh.! Mi ningekuwa mfungwa..mtiifu, sitoroki wala nini, ufungwa raha eehh.!
 
Teh teh,duu iyo jela nayo noma,,mfungwa wa kwanza 2 ishamzoea ivo..
 
Umenigeuza mwehu manake nimecheka mpaka watu wakapunguza sauti ya tv ili wasikie nacheka nini huku chumbani
 
Yap atleast nimecheka maana nilikuwa nimekunja ndita toka nimeamka siku ya leo
 
Back
Top Bottom