Naombeni ushauri: Honda CR-V toleo la 2004

Mbavu za Mbwa

JF-Expert Member
Jan 2, 2011
303
154
Wadau, habari zenu!!

Ninataka kununua gari ya kutembelea HONDA CR-V, TOLEO LA 2004.

kidooogo, mi si mtaalamu wa magari. Kwa mnaofahamu, vipi gari hii ulaji wake wa mafuta, uimara na upatikanaji wa spea?

In short, uzuri wake na ubaya wake ni upi?

Karibuni tufumbuane macho.
 
Back
Top Bottom