ndama1
JF-Expert Member
- Aug 11, 2014
- 277
- 96
Ndugu waheshimiwa,
Plani yangu ilikuwa kuagiza Voltz bahati mbaya bajeti imegoma, nikaona nitafute gari nyingine, SUV, itayoendana na hali ya mfuko wangu na hali ya barabara ninakoishi. Gari tajwa hapo juu nahitaji mojawapo. Naomba ushauri wenu kwa wenye nazo au experience na hizo gari hasa vipuri, ulaji mafuta na changamoto zake kwa ujumla.
Nawasilisha hoja.