Hon. Kagasheki hii ni bongo

Hon. Kagasheki hii ni bongo

Mkuu nakubaliana na wewe. Hakuna kama Kagasheki. Mzee anajituma na anafanya kazi zake kwa uadilifu. amesafisha kugaiwana vitalu kwa urafiki. Anawaangalia wazawa kwanza, tena kutokana na uwezo.

Balozi kagasheki Muhongo na Magufuli ndio majembe makuu kwenye serikali ya JK.........

Moja ya mawaziri waadilifu katika Cabinet ya JK ni huyu mzee wa watu, anajitahidi sana kuweka transparency katika wizara yake ile namuonea huruma sana kwani wasaidizi wake ni wasanii wote.

Nimeshakaa na huyu Mh kwa kweli anakerwa na uozo wa taasisi zake kama NGORONGORO, WILDLIFE DIVISION, TANAPA ila inafika sehemu anakwama kutokana na support ndogo anayoipata. Mh kazi unayo kwani umezungukwa na wasanii watupu kuanzia msaidizi wako Nyalandu na ukija hao ma CEO wa taasisi zako nyeti ndio balaa kabisa. Unae bwana Kijazi wa TANAPA yani huyo ni balaa kabisa ni msanii, tapeli, mwongo etc, Ukija huyu bwana wa TTB Nzuki yule wala hajui anafanya nini pale kwani angalia tangu aingie TTB ni kitu gani amekwishakufanya sana sana mimi naona ana diary tu yenye list ya tradefairs nikimalizia ndugu yangu Kawasange yeye wala hajui yuko pale kufanya nini mana shrika limeshikwa na Vero ambaye ni manager wake wa utalii.

Na Mh usifikiri labda mkulu hajui huo usanii ni kwamba hii ndio Serikali yetu bwana hivyo mzee we nenda tu mdogo mdogo ukisubiri 2015.
 
Hakuna kiongozi mkamilifu hapa duniani. Ila Balozi Kagasheki nampa 90% ya utendaji mzuri. Kuliko yule kibaka wake sijui naibu waziri Nyalandu. Yule mtu ni majungu na fisadi kinoma. Linapenda Rushwa kama nini.

Nyalandu ni hatari kwa usalama wa Tanzania....................Kagasheki ni mtu safi ila mshishangae watu kama Fisadi nyalandu baba majungu kuanza kumtafutia majungu........JK siyo mjinga sidhani atakubali kumpoteza jembe kama lile
 
kwa suala la kuchukua ardhi ya wamaasai Loliondo na kusingizia uhifadhi wa mazingira.huyu bwana nimemchukia kuliko watu wote tukianza na zakia meghji

Bwana unakosea. Tatizo siyo Kagasheki. Yeye amekuja juzi, ameyakuta haya madudu. anachojaribu ni kuliokoa serikali yake. Mzee yule hana chembe cha ufisadi. Kila anachokifanya ni kwa maslahi ya taifa.
 
Back
Top Bottom