Hon. Freeman Mbowe chairman

Mntumia nguvu nyingi kumkashifu Mbowe na kumdharau,,,lkn eleweni ungozi si elimu,,,ungozi ni karama, kipaji na majaliwa. wapo watu na na madegree yao lakini walipopewa madaraka wakawa mafisadi na waharibu nchi. acheni unafiki juu ya hili.
 
Ndiyo maana wanaitolea katiba mpya machozi. Ana haki ya kumwogopa msomi Zitto.
 
Last edited by a moderator:
Mzee Mwinyi alikuwa na elimu ya madrassa tu akaongoza taifa. Elimu ya kufugia majini ya Mwinyi hamkuiona hadi mnamshambulia Mbowe?

acha ufa.la wewe,wale wanaokemeaga majini kwenye vipindi maalum vya Tv NI DINI GANI?
 
Wakuu tujadili mambo ya muhimu kama mfumuko wa bei, madawa ya kulevya, kushuka kwa elimu, huduma mbovu hosptalin, ardhi, ufisadi, madini, mikataba feki nk, hivyo tuachane na CV za watu makamanda kwan sio agenda ya msingi kwa sasa.

Umeguswa sehemu nyeti eeh
 
Ndiyo maana wanaitolea katiba mpya machozi. Ana haki ya kumwogopa msomi Zitto.

Siku hizi tuna wasomi wasioamini katika kukabiliana na changamoto kwa mbinu za kisayansi badala yake wanajivunia ushirikina hadharani
 
Last edited by a moderator:
Kwa hili namtetea,

Mbowe ana akili sana kuliko ma professors na mdokta kibao, ndio maana anawaongoza na wanamwogopa sana

Elimu sio nguvu au kipaji cha uongozi. Tatizo la Mbowe ni akili ndogo ambayo ina uzoefu wa kuongoza kumbi za disko tu na anafanya makosa kutumia uzoefu wake wa disko kwenye siasa

Huwa anawaongoza wazazi huko kwenye disco.
 
Kwa hiyo katiba mpya ikipita na ile kifungu ya kuwa na Bachelor ili uweze kuwa mgombea Urais inamtoa nje automatically!
 
Ni kilaza ile mbaya.

Aina hii ya maneno ni ya kishabiki zaidi

Hata kama unaweza kuwa na chuki binafsi kwa mtu unaweza hata kuona aibu wakati unamfanyia mambo au kumsemaea mambo ambayo hata nafsi yako inakusuta

Unaweza kuandika chochote kile kwa kuwa una haki ya kufanya hivyo,lakini kushindwa kujitendea haki wewe mwenyewe kwenye yale unayoyafanya kwa kujidanganya na kujilisha vitu vya hovyo utaonekana wa ajabu sana!
 
Mimi najuwa Mbowe ana uwezo mkubwa sana kiakili kuliko hata hao wenye madegree yao, hata high school ulipata Division one pale mkwawa sikutofautishi sana na Mnyika ambae nae high school alipata A zoooooooote. Kama ni entry qualifications unazo uwezo wa kulipa ada chuo chochote duniani unao. Je kwasababu elimu haina kuchelewa si utenge tu miaka mitatu ukagonge kanyuzi angalau kamoja tuuuuuuuu? Huoni kama hii itatupunguzia maneno na kashfa ndani na nje ya chama?
 
Siku hizi tuna wasomi wasioamini katika kukabiliana na changamoto kwa mbinu za kisayansi badala yake wanajivunia ushirikina hadharani
Na wengine wanaukana hadharani ilhali mifukoni mwao wanabeba unga mwekundu kuondoa uhai wa wapinzani wa mabwana zao.
 
Back
Top Bottom