Taja maneno hatari yaliyojificha ndani ya maneno yaliyoorodheshwa hapo chini. Yanapatikana kwa kupunguza baadhi ya herufi. Mfano: Zingatia=Tia, Uchina=Uchi. Pia waweza kuweka zaidi ya yaliyo hapo chini. Msengenyaji, kumaliza, kutoongozana, kutoombana, firauni, nyegezi, akinena, addisababa, pen is good.