Niliambiwa nilipokua mdogo mtu anayewapenda paka na kuwajali kama kuwapa chakula, maji na hata kucheza nao mara nyingi huwa ni mtu wa huruma na anaejali, eti ukiwa na rafiki wa namna hiyo ni kua na rafiki wa maana sana, ingawa pia watu hao wanakua imara kwenye maamuzi yao. Au sijui marehem bibi yangu alikua ananilisha matango pori ledada!!?