home work...

CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,250
12,868
taja vijiji/vitongoji vitano vya eneo unaloishi. kwa kuanza
1 - Nyang'olongo
2 - Nyamhongolo
3 - Nyang'homango
4 - Nyabulogoya
5 - Nyakurunduma
hivo vyote vinapatikana ndani ya jiji la mwanza aka rock city. . . . .
 
Mh..majengo..rau..kcmc...shanty town..ushirika...ccp...mwereni..oooops...nmepitiliza...Moshi mjini apo.
 
Darajani, Mikocheni A, Msasani, Oysterbay na Kanyamala a.k.a Ngeta Zone.
 
wana cc hii itatusaidia kufahamu maeneo meng ndani ya nchi yetu. ili kwamba cku ukisikia hilo eneo linatajwa ujue lipo mkoa gan. . . asanten
 
Samahani charminglady ni mesahau diary yangu niliandika huko. Unajua vijiji vya huku china huwezi kuvishika kichwani ni kirudi home nita vitaja vyote.
 
Samahani charminglady ni mesahau diary yangu niliandika huko. Unajua vijiji vya huku china huwezi kuvishika kichwani ni kirudi home nita vitaja vyote.

umesomeka mkuu, unarudi hm saa ngapi ili nikukumbushe? mwe hata jina lako gumu kumention hv ni la kichina pia eeh?
 
Don street,118 hills street,Southpole street,westernside street charminglady vipo vingi mbaya.
 
Last edited by a moderator:
Mh..majengo..rau..kcmc...shanty town..ushirika...ccp...mwereni..oooops...nmepitiliza...Moshi mjini apo.

Mkuu Mentor, kumbe tupo mtaa mmoja! Ha ha ha! Inabidi wanajf Wa Moshi tuwe na gathering kunywa kahawa pale coffee union
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom