uwanja wa fisi kuna gest inaitwa 'mlango wazi' nenda hapo utawapata kibao.Mtoto wa jirani (miaka 5 anasoma chekechea) kanijia asubuhi akaniambia eti nimtafutie CHAWA na KUNGUNI ajue jinsi walivyo. Anasema wamefundishwa ubaya wa hao wadudu na wameambiwa kila mmoja awatafute aone wanafanana vipi, alivyowauliza wazazi wake wakamwambia aje kwangu. Nimemwambia nitamletea kesho na kumuonyesha namna walivyo. Msaada namna ya kuwapata kwa urahisi hao wadudu.....
Wale wenye nywele ndefuuu afu wanakula pilipili sana huwa wanazo, katiza mitaa ya kariakoo tu.
.Lete mchango wako...
Chawa ni LICE na kunguni ni BEDBUGSChawa kwa kiengereza anaitwaje niko na mtaalam hapa kutoka mbele anaweza kukusaidia nimestuck kwenye jina ??