home sweet home...! kwetu pazuri!

Maisha ambayo mama zetu wengi wameishi hasa kwa sie tunaoitwa wa mikoani. Ila tukipata nafasi japo tuwapunguzie kazi wazee wetu. Mama yangu anapenda sana kwenda kwenye mashamba yake. Ukitaka kugombana naye mwambie aache kwenda shamba!! Nilichofanya ni kumpunguzia kazi za kubeba mizigo kichwani. Kama ni kuni gari linamletea nyumbani, mbolea inapelekwa kwa gari na mavuno nayo yanasombwa kwa gari.
 

Wow nice....nawe mungu atakufungulia kila neema kwa kumjali mama yako

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Niko poa sana namshkuru muumba

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

ok bibie,mi nasubiria tu ile ahadi yetu ya kuonjeshwa,sijui utapika kibua au kamba,cha msingi ni kuonjeshwa tu
 
umenikumbusha mbali sana Excel hasa hao kinamama waliobeba kuni
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…