Home sweet home -- bongo wera weraaaaaaaaaaaaa.

kwa wengi wetu tusiojua mlo kamili tutasema wanatesa!!!! mwisho wa siku watakuwa na matumbo ya kuvimbiana and then pressure na magonjwa mengine yanafuata. wanaotakiwa kula hivyo ni waasilika wa ngoma
 
nimeipenda hiyo ya kwanza
.. I hope ni ile ya ugali na samaki pembeni au sio? pale ili upate uhondo full hakuna kijiko, kisu wala uma...ni kuchapa mikono nagonga thamaki hakuna kubakisha kichwa, mkia wala mwiba...mh!!:A S tongue::A S tongue:
 
Dah! hapo mie nimeona ugali na makande tu! Hivyo vingine ni anasa kwangu na kwa familia yangu
 
F/L acha hizo utaua,unajua niko busy sijala toka asubuhi sasa hizo pure kidogo nivunje screen nizilambe
 
img_3300.jpg

7-28%20Samousa,%20pondu,%20fufu,%20plantain%20&%20other%20African%20food_JPG.jpg

DSC00823.JPG

DSC00821.JPG

d5p5.jpg

5.jpg


ama kweli kwetu mambo tambarare kwa sana :A S 39:

Asili mia kubwa ya watanzania hayo mambo "WERAAAAAAA" wanayaona kwenye picha tu!! wanaofaidi ni Jakaya na genge lake la wakina IBN BATUTA!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom