Home Shopping Centre yakanusha kuhusika na ukwepaji kodi, upotevu wa makontena bandarini

NEC ilikaa kikao juzi kumfunga gavana MAGUFULI, na filamu imeishia bandarini, TRL hatii mguu, wala TRA hawataulizwa kama kodi imelipwa, wala hatutasikia ambao hawajalipa. Alilotaka limekuwa kushika akili za watanzania. Na kufanya ulimwengu waamini yeye ni bora. CCM ni ile ile.
Naamini kikao cha juzi kina nguvu sana, wewe unafikiri wakikuambia PRESIDA ukiendelea tunakufukuza YANGA utaacha kupiga breki?? We are back to square one.
 
Hawa watu wanafanya maovu mengi sana alafu bado wanateuana tena kwenye nyadhfa nyeti anaemteua akiulizwa katumia vigezo gani anajibu kwa nyodo na jeuri kuonesha yy ni mungu mtu hapa Tanzania ipo siku mungu atawahukumu vibaya sana

Magufuli is not living his words and promises.
 
Naanza kuiona Tanzania ya magufuli kama kichwa cha mdada mwenye nywele kipili pili af alivaa wigi sasa anataka kulivua ili abakie natural kipilipili
 
Nasikitika kama kila mtu anaanza kujitetea baada ya kikao cha chama juzikati, hata wale mawaziri waliohusika na makontena nao wanarudi, wajumbe wa bodi wamekuwa manaibu spika, Escrow na Muhongo wanarudi, sasaaaaah!... daaaah
Movie ndo imeishia kushika ufagio na kufagia..... angeenda hata TANESCO basiii..

Tulidhania tumepata mpambanaji kumbe ni kanyabwoya. Juzi kakanywa saaana na kutahadharishwa asije akatumbua jipu bila kujiridhisha; vinginevyo atafanya kazi kwa kusikiliza majungu na majungu hayajengi.

CCM ni mafia, huwezi kuishinda ukiwa ndani.... namshauri Magufuli atoroke aje kwani anayofanta wenzie hafurahishwi.
 
inawezekana kweli! ila tumeaminishwa tu kuwa mlihusika kwani hata richmond kuna tulieaminshwa kuwa ni mhusika mkuu kumbe sio kweli
 
Nasikitika kama kila mtu anaanza kujitetea baada ya kikao cha chama juzikati, hata wale mawaziri waliohusika na makontena nao wanarudi, wajumbe wa bodi wamekuwa manaibu spika, Escrow na Muhongo wanarudi, sasaaaaah!... daaaah
Movie ndo imeishia kushika ufagio na kufagia..... angeenda hata TANESCO basiii..
After all sote tutaendelea kushare matatizo yetu haya haya na baadae tutakufa tu na wanetu watashuhudia watu wasiojua kusoma na kuandika katika karne ya 21. Masikitiko na aibu kubwa ni kwa mtu aliyeipa kura ccm kwa kuamini eti italeta mabadiliko. Haya twende kazi!
 
The guys walikua na exit plan... watu wa namna hii ni kupambana nao kihuni tu, hatuwezi kumalizana nao kwa style ya kawaida... sidhani hata kama utakuta majina yao kwenye any fraud, kwasbabu ni wataalam
 
Picha niliyo iona alikuwa anatembea na mfagio kwenye barabara... nadhani nia kubwa ilikuwa kujisafisha na kuwapasha wapinzani kana kwamba watz hawaoni yaliyo tendeka....

Ni kweli mkuu, alichofanya mkwere ni kuandamana na fagio mkononi, hawakutuonyesha akifanya usafi, baada ya hapo njia ikafungwa ili amwage udaku na vijembe kidogo, baaaaasi.
 
Nimeona wameandika kuwa wanaendelea kupokea mizigo na wameshusha gharama zao mpaka $300 toka $400
 
mungu atamlaani pombe ila ipo siku ccm wataondoka tu na wenye nchi watanufaika.dah ina umiza sana
 
Home Shopping Center,hawajawahi kukwepa kodi ni kweli kabisa,walifuata Taratibu zote,
e.g wanaingiza kontena la vitenge,documents zinaonyesha kontena la Vyandarua, wanalipa kodi ya vyandarua .e.g 0.005% ya kodi ya Vitenge.
Kimsingi hawajaacha kulipa kodi,wamelipia kodi kanyaboya.
Ili uweze ku-prove wameiba inakulazimu upitie record za Scanner zoote ili ufanye kazi.
=====
Au kwenda China,kukamata kampuni zilizohusika kupakia mizigo ya Silent Ocean (wakala wa Forodha wa Home Shopping CEnter)
=========
Kukamata wafanyabiashara wa Kariakoo,kutambua mizigo walio Agiza walitumia Wakala yupi wa forodha (Asilimia kubwa walitumia home Shopping Center ,kwani walikuwa wanalipia Ujazo wa Kontena na sio Gharama (thamani ya mzigo)
=====
Hapa Kazi ameshapunguzwa Spidi,Hatutomsikia Tena.kwa kasi ile ile Aliyoanza nayo na Hatimaye watanzania tutaona ilikuwa NGUVU ya Fanta Tu, na sio soda ya Pepsi au Kokakola
 
Hebu watuambie pia ni nani aliyewapa haki ya kufunga mitaa mbalimbali kwa magari yao yaliyokuwa yanazagaa karibia kila siku kushusha mizigo huko Kariakoo.
 
it is interesting kuona Mfilisi (Liquidator) anavyo tumia nguvu nyingi sana na page nzima ya gazeti la mwananchi kuhusu hili swala. hasa anaposema kwa nguvu zote kwamba ni uongo, chuki na uchochezi didhi ya kampuni ya hsc as if yeye ndo mmiliki. Awaache wenyewe waseme. who is he to deal with the issues za kampuni wakati yeye ni kusimamia ufilisi tu? napata mashaka sana!
 
HSC wanaweza kuwa hawahusiki kwa sababu yao waliyatoa bandarini kwa kibali toka ikulu kwenda TRA cha msamaha wa kodi!

Lakini jk amesema hajawahi kuruhusu kodi isilipwe. Hata kama yalipewa msamaha wa kodi yangeonekana kwenye makontena yaliyopewa msamaha na ndipo swali lingeulizwa kama wanastahili kupata msamaha.
 
Back
Top Bottom