Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,352
- 9,811
Data zote zipo mezani wasubiri kukamatwa
Naamini kikao cha juzi kina nguvu sana, wewe unafikiri wakikuambia PRESIDA ukiendelea tunakufukuza YANGA utaacha kupiga breki?? We are back to square one.NEC ilikaa kikao juzi kumfunga gavana MAGUFULI, na filamu imeishia bandarini, TRL hatii mguu, wala TRA hawataulizwa kama kodi imelipwa, wala hatutasikia ambao hawajalipa. Alilotaka limekuwa kushika akili za watanzania. Na kufanya ulimwengu waamini yeye ni bora. CCM ni ile ile.
Hawa watu wanafanya maovu mengi sana alafu bado wanateuana tena kwenye nyadhfa nyeti anaemteua akiulizwa katumia vigezo gani anajibu kwa nyodo na jeuri kuonesha yy ni mungu mtu hapa Tanzania ipo siku mungu atawahukumu vibaya sana
Nasikitika kama kila mtu anaanza kujitetea baada ya kikao cha chama juzikati, hata wale mawaziri waliohusika na makontena nao wanarudi, wajumbe wa bodi wamekuwa manaibu spika, Escrow na Muhongo wanarudi, sasaaaaah!... daaaah
Movie ndo imeishia kushika ufagio na kufagia..... angeenda hata TANESCO basiii..
After all sote tutaendelea kushare matatizo yetu haya haya na baadae tutakufa tu na wanetu watashuhudia watu wasiojua kusoma na kuandika katika karne ya 21. Masikitiko na aibu kubwa ni kwa mtu aliyeipa kura ccm kwa kuamini eti italeta mabadiliko. Haya twende kazi!Nasikitika kama kila mtu anaanza kujitetea baada ya kikao cha chama juzikati, hata wale mawaziri waliohusika na makontena nao wanarudi, wajumbe wa bodi wamekuwa manaibu spika, Escrow na Muhongo wanarudi, sasaaaaah!... daaaah
Movie ndo imeishia kushika ufagio na kufagia..... angeenda hata TANESCO basiii..
Picha niliyo iona alikuwa anatembea na mfagio kwenye barabara... nadhani nia kubwa ilikuwa kujisafisha na kuwapasha wapinzani kana kwamba watz hawaoni yaliyo tendeka....
Ni kweli mkuu, alichofanya mkwere ni kuandamana na fagio mkononi, hawakutuonyesha akifanya usafi, baada ya hapo njia ikafungwa ili amwage udaku na vijembe kidogo, baaaaasi.
wamepata nguvu baada ya mkwere juzi kusema familia yake haiusiki!
Bring in documents to support your innocence, otherwise kwetu sisi wewe ni mkwepa kodi tuuu.
HSC wanaweza kuwa hawahusiki kwa sababu yao waliyatoa bandarini kwa kibali toka ikulu kwenda TRA cha msamaha wa kodi!
Sheria ya ushahidi inataka wewe unayemtuhumu ndo uonyeshe ushahidi wa tuhuma unazomtuhumu mshitakiwa.Bring in documents to support your innocence, otherwise kwetu sisi wewe ni mkwepa kodi tuuu.