Tangu ilipoanza kuitwa UEFA champions League mpaka hii leo hakuna timu imeshafungwa 4-0 kwenye fainali...ni Barcelona tu ndie mwenye rekodi hio.
Na kibano hicho cha Mbwa koko ndani ya uzio walikipokea toka kwa Baba la mafanikio ya Soka ulimwenguni klabu ya AC Milan.
Kibano hicho kilikamilika ndani ya dakika 56 tu pale Malcel Desailly alipopigilia msumali wa mwisho...
Magoli mengine ya Rossomilan yalifungwa na Savicevic na Danielle Masaro alietupia kamba mbili.
Forza Milan
grande gigio
Full time
Juventus 2-1 Ac millan⚽⚽⚽
yes dona is correct, nani asiyejua kuwa juve wananunua marefa? hasa wakiwa nyumbani watahakikisha wameshinda kwa cost yoyote ile, score board inaonesha ni dakika ya 96:30 ndio wanapewa penalty wakati kulikua na dakika 4 tu za nyongeza.Kama kawaida yao, wanatafuta mchawi - rejea:
Gianluigi Donnarumma angry over late Juventus penalty - 'It's always them'
Mkuu Gang Chomba salama lakini? Huwa sikuelewi pale unaposemaga Milan ndio baba wa mafanikio europa! Kwa kati ya barcelona na milan nani anamafamikio zaidi inapokuja issue ya vikombe?Tangu ilipoanza kuitwa UEFA champions League mpaka hii leo hakuna timu imeshafungwa 4-0 kwenye fainali...ni Barcelona tu ndie mwenye rekodi hio.
Na kibano hicho cha Mbwa koko ndani ya uzio walikipokea toka kwa Baba la mafanikio ya Soka ulimwenguni klabu ya AC Milan.
Kibano hicho kilikamilika ndani ya dakika 56 tu pale Malcel Desailly alipopigilia msumali wa mwisho...
Magoli mengine ya Rossomilan yalifungwa na Savicevic na Danielle Masaro alietupia kamba mbili.
Forza Milan
AC Milan amechukua Champions League mara 7,Barcelona amechukua mara 5Mkuu Gang Chomba salama lakini? Huwa sikuelewi pale unaposemaga Milan ndio baba wa mafanikio europa! Kwa kati ya barcelona na milan nani anamafamikio zaidi inapokuja issue ya vikombe?
Labda mimi ndio sielewi.