Ambiele Kiviele JF-Expert Member Joined Dec 29, 2014 Posts 15,270 Reaction score 29,939 Dec 26, 2016 #1
py thon JF-Expert Member Joined Sep 11, 2016 Posts 2,475 Reaction score 4,454 Dec 26, 2016 #2 Paka wa Dar es salaam huyo Paka anaangalia TV ?? Paka anashinda juu ya kochi Paka anachagua msosi ,anasusa kabisa Lazima apigwe na akimbizwe na panya Ebo Mikoani paka anaua nyoka . Paka hajui TV ipoje,hachagui msosi.Paka hustler
Paka wa Dar es salaam huyo Paka anaangalia TV ?? Paka anashinda juu ya kochi Paka anachagua msosi ,anasusa kabisa Lazima apigwe na akimbizwe na panya Ebo Mikoani paka anaua nyoka . Paka hajui TV ipoje,hachagui msosi.Paka hustler
Adolph Jr JF-Expert Member Joined Nov 5, 2016 Posts 6,291 Reaction score 10,192 Dec 26, 2016 #3 py thon said: Paka wa Dar es salaam huyo Paka anaangalia TV ?? Paka anashinda juu ya kochi Paka anachagua msosi ,anasusa kabisa Lazima apigwe na akimbizwe na panya Ebo Mikoani paka anaua nyoka . Paka hajui TV ipoje,hachagui msosi Click to expand...
py thon said: Paka wa Dar es salaam huyo Paka anaangalia TV ?? Paka anashinda juu ya kochi Paka anachagua msosi ,anasusa kabisa Lazima apigwe na akimbizwe na panya Ebo Mikoani paka anaua nyoka . Paka hajui TV ipoje,hachagui msosi Click to expand...
M mtotowamamanjungu JF-Expert Member Joined Oct 13, 2016 Posts 351 Reaction score 273 Dec 26, 2016 #4 Ha ha ha
Nokia83 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 24,636 Reaction score 44,392 Dec 26, 2016 #5 Kweli wapo paka mapunga mm nmeshaona mmoja sehem
dexterous JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 2,037 Reaction score 3,149 Dec 26, 2016 #6 Haha unanikumbusha kuna paka alikuwa anafugwa mahali yule paka ni waajabu kwel hakuna kitu ambacho hali paka anakula hadi ice cream,mahindi,mpaka blue band sikuamini
Haha unanikumbusha kuna paka alikuwa anafugwa mahali yule paka ni waajabu kwel hakuna kitu ambacho hali paka anakula hadi ice cream,mahindi,mpaka blue band sikuamini
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 52,707 Reaction score 128,344 Dec 26, 2016 #7 Hahahaaaaaa. Nimecheka mpaka basi. Paka gani muoga hivyoo.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,979 Reaction score 1,252,289 Dec 26, 2016 #8 Bahat mbaya sipatani na paka.