SOCIOLOGISTTZ
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 2,615
- 929
huu ugonjwa umeibuka watu wajanja wataanza kupiga deal kama kawaida yao
Sunday, 11 May 2014 10:51
Breaking NEWS:
Dar es Salaam, Tanzania. Daktari bingwa wa magonjwa ya akili katika hospitali ya Temeke jijini Dar es Salaam, Dk Gelbert Buberwa amefariki dunia hivi punde baada ya kuugua homa ya Dengue.
Ugonjwa wa homa ya Dengue, umevamia Jiji la Dar es Salaam kwa kasi na kusababisha baadhi ya watu kulazwa hospitalini.
Mbali na ugonjwa huo kumshambulia Dk Buberwa, vilevile msanii maarufu wa muziki wa kizazi kipya, Rehema Chalamila ( Ray C) naye aliugua na kulazwa katika Hospitali ya Mwananyamala. Baada ya siku chache kupita, msanii wa Bongo Movie Dk Cheni aliugua ugonjwa huo na kulazwa katika Hospitali ya Burhan jijini Dar es Salaam.
Dalili ya Homa ya Dengue
Madaktari wanasema kuwa dalili za homa ya Dengue ni mgonjwa kuhisi kuchoka sana, homa kupungukiwa damu, na kuhisi maumivu
mwilini.
Madaktari wamesema kuwa ugonjwa huo hauna matibabu maalumu bali mgonjwa akiugua anapaswa kupelekwa hospitali mapema kwa ajili ya kupatiwa matibabu.
Source: Habari5.com
Dar ni jij chafu zaid ya choo acha yafe kwanza meng yao yanapenda ccm yafe tu dangue ua maccm yote
Asante nimekuwlewa sana, ila mtu anapoumwa na huu ugonjwa akipimwa malaria anakuwa anayo au hana, kwa sababu tunae mwanfunzi hapa hostel wiki nzima anauguza malaria ila kuna baadhi ya dalili hapo juu anazo
Duuuu we utakuwa mchawi hakika.Dar ni jij chafu zaid ya choo acha yafe kwanza meng yao yanapenda ccm yafe tu dangue ua maccm yote
Hili suala Wizara ya Afya ili-address seriously baadala ya magazeti ya Udaku kuachwa pekee katika kazi ya kutoa tahadhari
R.I.P dear dr,THE best intervention here is to destroy mosquito breeding sites as much as possible, this isnt an individual task but the ministry of health should do this otherwise we are not taking the serious measures
Mh nilikuwa na mpango wa kuja Dar lakini nimebadili mawazo kwasababu ya DENGUE,Dar kazi mnayo!!!!