Wakuu punde tu nimetoka kuangalia movie ya Schendle's List, na nimevutika kuiangalia baada ya last week kuangalia Escape from sabibor.
Mwanzo kabisa nilikua naamini hakuna kipindi kibaya sana kwa maisha ya binadamu kama ulivyokuwa wakati wa utumwa
Lakini sasa baada ya kuangalia hizi movies nashawishika kuamini Jews walipitia kipindi kibaya sana wakati huo.
What do tou think?