Holiday Greetings, Tuma salaam

Niletee uji na mtori.... nimelazwa Muhimbili wodi ya vichaa...

Anza kunichangia rambirambi..... Namwona ziraili ananinyemelea mchana kweupeeee...

Wakati unadanganywa si ulikuwa unanisema kama hunijui.Ni mzee lakini ulisahau msemo wa usiache mbachao kwa msala upitao na usione vyaelea babu weeee vimeundwa.Kama ulivyonikana hadharani basi na mie ujue nakukana leo

Cc sosoliso
 
Last edited by a moderator:
Wakati unadanganywa si ulikuwa unanisema kama hunijui.Ni mzee lakini ulisahau msemo wa usiache mbachao kwa msala upitao na usione vyaelea babu weeee vimeundwa.Kama ulivyonikana hadharani basi na mie ujue nakukana leo

Cc sosoliso
Napata moyo angalau hutendi unachokisema. Hapa chini umenifariji sana....

Usimdanganye babu wa watu jamani???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…