Hoja za Matangazo kwenye jezi mpya Simba

IMG_5039.JPG
sisi wanasimba hatuna habari kabisa
 
Sisi tunaomba matangazo yaongezwe nyani kutoka uto wanataka kujua maliipo ya kila tangazo
 
Lazima uwataje hao wakubwa kwa sababu ni vioo kwa timu ndogo .

Simba ilipokubali kufanya maabadiliko ya kimfumo, ililenga kuwa klabu kubwa yenye kufanana na hadhi na klabu zinazoendeshwa kisomi na sio ujanja.
Wakubwa wenye mikono mirefu serikalini mzee.mtoto wa msoga ajawai kuacha hii michezo na wengine wengi tu.
 
Mo Sports ni jina mbadala la Simba SC, muda si mrefu timu yangu ya Simba SC itabadilshwa jina na kuitwa Mo Sports.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom