hoja ya mwaka ndani ya Bunge


Philip Dominick

Philip Dominick

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2013
Messages
1,022
Points
1,195
Philip Dominick

Philip Dominick

JF-Expert Member
Joined May 26, 2013
1,022 1,195
MHESHIMIWA SPIKA, naishauri serikali yako tukufu kuwa,ktk masomo ya udaktari kuwe na kitengo cha madaktari wa MAPENZI. Huu ni ugonjwa unaosumbua wengi,vijana na wazee,maskini na tajiri. MHESHIMIWA SPIKA,kama ujuavyo ugonjwa huu huanzia ndan ya nafsi hivyo hauna umri. Pia kuwe na kipimo cha kupima kama m2 anapenda kweli au ni usanii! Naishauri pia serikali ye2 itafute dawa hata nje ya nchi zitakazoufanya moyo usimpende m2 zaidi ya mmoja, au usiumie unaposalitiwa. MHESHIMIWA, Ugonjwa huu unaua kama magonjwa mengine, naomba upewe kipaumbele ktk bajet yako. Natoa hoja.
 

Forum statistics

Threads 1,283,936
Members 493,895
Posts 30,807,082
Top