Hoja ya Mnyika kuhusu katiba, Makinda ameikubali!

TUNTEMEKE

JF-Expert Member
Jun 15, 2009
4,587
579
Spika wa bunge la Tz,Anna makinda,jana alitoa tamko la kuikubali hoja binafsi ya Mh.mnyika kuhusu uendeshaji wa mchakato wa kuanda katiba mpya.ANNA alisisitiza kuwa bunge litatumia mamlaka yake kisheri namna tunavyoweza ipata katiba mpya.
Pia alipendekeza ushirikishwaji wa wananchi kwa wingi katika mchakato huo.Vilevile alidai ni muhimu MNYIKA aidadavue vizuri hoja yake pindi atakapopewa nafasi ya kuitoa.
 
Mnyika anaingia moja kwa moja ktk historia ya Tanzania. Safi sana kijana. Kafulila jiandae vizuri ikwamishe Dowans nawe tukuweke ktk vitabu vya Tanzania huru ya mwaka 2015.
 
Wadau hapa ndipo tunapotakiwa kutoa michango yetu kama inavyoendelea kwenye lile jukwaa la katiba nini kiwe included na nini kiwe ommited ili Tanzania yetu iwe mahali salama pa kuishi.
 
Spika wa bunge la Tz,Anna makinda,jana alitoa tamko la kuikubali hoja binafsi ya Mh.mnyika kuhusu uendeshaji wa mchakato wa kuanda katiba mpya.ANNA alisisitiza kuwa bunge litatumia mamlaka yake kisheri namna tunavyoweza ipata katiba mpya.
Pia alipendekeza ushirikishwaji wa wananchi kwa wingi katika mchakato huo.Vilevile alidai ni muhimu MNYIKA aidadavue vizuri hoja yake pindi atakapopewa nafasi ya kuitoa.

Wa-Tanzania wenzangu, katika hili naona mwanga wa mshumaa mwisho wa kalivati!!!
 
Hewalaaaaa!!!!!

Werema Werema!!! Werema Werema ah ah!!! Kombani Kombani!!! Kombani Kombani ah ah!!!
Mnyika Mnyika!!! Mnyika Mnyika ah ah!!! Dodoma Dodoma!!! Dodoma Dodoma ah ah!!!
Makabwela Wenzagu Oh!! Makabwela Wengu Oh Oh!!!

Naweza Yote KATIKA YEYE ANITIAYE NGUVU. Asante Mungu!! Asante Tanzania yangu!!!! Watanzania Uwezo Tunao!!!!
Na sala za amani, mshikamano, na umoja wetu wa kitaifa ziendele kwa jina la:

1. Katiba MPYA.
2. Tume huru ya Uchaguzi.
3. Tume huru ya Bunge kuchunguza kilichojili kwenye uchaguzi wetu 2010 na kutoa dira sahihi.

Visiwani tusilale, Bado Mapambano
Na Bara tusiote Bado Mapambano
 
Mnyika, Mama Anna Makinda na bila shaka kijana mwenzetu JOB NDUNGAI; you make my day!!! I am more than happy!!! No greater a present for the New Year festives than this.

Asante sana Mwanasheria Mkuu wetu Mhe Makungu, Mzee Chande usitufungi milango kudai haki na wewe Said Mwema haki zetu kuandamana bila vurugu unazifahamu sana wewe kama askari uliowahi kupata exposure ya kimataifa kule INTERPOL. Hivyo hatutegemea kuona haya madudu ya vijana wako tena mwakani.

Mshauli Kamanda wetu Kova atulize boli kidogo kwani tunamstahi tu shauri ya kazi njema aliotufanyia Watanzania akiwa mkoa wa Mbeya - asiharibu hiyo rekodi zuri.

Bunge Oyyeeee!!! Mwaka Mpya Hoyeeee!!! Tanzania Huru Upya Hoyeee!!! Wabunge wote Hoyeeee!!!
 
Japo ni nusu safari lakini kwa maneno huyu mama ya kutia moyo; leo nitasheherekea mpaka kunakucha ndani mwetuuuuu!!!!!

Kumbe chembechembe za STANDARDS AND SPEED zingine huenda bado zilibakia ndani ya Mama Makinda. Kweli kwa Bwana Yesu hakuna lisilowezekana kasa WABUNGE MACHO YOTE KWENU; Ngeleja fanya maandalizi tangu sasa Umeme hakuna kukatika bungeni.

Emmanuel Nchimbi; vyombo zaidi vya habari viruhusiwe Bungeni Dodoma tangu January 2011.
 
Back
Top Bottom