Baba V
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 19,479
- 9,551
kuwania nafasi ya mwenyekiti cc/anguko la mwenyekiti
cc hoyeee!!
salam ma bibi na mabwana,
ama awali ya yote napenda sana kuishukuru familia yangu hasa mume wangu, ajuaye nitibu maradhi ya moyo wangu platozoom ambaye yuko safari mashariki ya mbali.
kama ambavyo ilivyoada kwa kila kiongozi kuachia ngazi pale anapoona amekosea au kwa mujibu wa sheria.kwa sababu hizo najitokeza rasmi kugombea uenyekiti endapo tu kiti kitakuwa wazi.sina kashfa yeyote ile kwa wale walong humu watadhbitisha hilo.
sijawahi kufugwa kifungo cha aina yeyote ile.kazi hii naiweza na ninaitamani toka nikiwa kigoli na ninauzoefu nayo,kwa wale watafuatao wenza na wanaotaka ndoa sitazichelewesha,kwa wale watalaka na migogoro ya mapenzi naahidi kupunguza au kutokomeza kabisa tatizo hili
najua wanacc baadhi watadhihaki maamuzi yangu ila linawezekana leo lisingoje kesho
naomba kura zenu muda ukifika ili niwatumikie wana cc wenzangu
wakinana baba mtanipaaaaaa?
wakina mama mtanipaaaaaaaa?
natanguliza shukran zangu za dhati kwenu
special copy to Baba V
Kika mtu angekuwa anafanya kama wewe basi chit chat ingekimbiwa na wadau wote, si ungeendelea tu kunibembeleza kulekule PM badala ya kuja kuleta vioja huku. Uko tayari nimwage kuku kwenye mchele wengi...!!?? Mapenzi hayalazimishwi mama, nimekwambia mie nilishakamatika mazima kwa Mama v , kubali tu ndo ukweli wenyewe. Hii mbinu yako haitanibadili msimamo wangu zaidi itanilazimisha niweke kila kitu hadharani ili hata wanaokuunga mkono wajue ni ngoma gani wanayoicheza...., Uamuzi ni wako.
Copy:
watu8
Erickb52
measkron
Mamndenyi
Mpenda Yesu
charminglady
Kwa ajili ya kujua ukweli.
Baba V
Last edited by a moderator: