hoja ya kutongozea kura

ummu kulthum

JF-Expert Member
Feb 6, 2012
2,785
1,317
kuwania nafasi ya mwenyekiti cc/anguko la mwenyekiti

cc hoyeee!!
salam ma bibi na mabwana,

ama awali ya yote napenda sana kuishukuru familia yangu hasa mume wangu, ajuaye nitibu maradhi ya moyo wangu platozoom ambaye yuko safari mashariki ya mbali.

kama ambavyo ilivyoada kwa kila kiongozi kuachia ngazi pale anapoona amekosea au kwa mujibu wa sheria.kwa sababu hizo najitokeza rasmi kugombea uenyekiti endapo tu kiti kitakuwa wazi.sina kashfa yeyote ile kwa wale walong humu watadhbitisha hilo.

sijawahi kufugwa kifungo cha aina yeyote ile.kazi hii naiweza na ninaitamani toka nikiwa kigoli na ninauzoefu nayo,kwa wale watafuatao wenza na wanaotaka ndoa sitazichelewesha,kwa wale watalaka na migogoro ya mapenzi naahidi kupunguza au kutokomeza kabisa tatizo hili

najua wanacc baadhi watadhihaki maamuzi yangu ila linawezekana leo lisingoje kesho
naomba kura zenu muda ukifika ili niwatumikie wana cc wenzangu

wakinana baba mtanipaaaaaa?
wakina mama mtanipaaaaaaaa?

natanguliza shukran zangu za dhati kwenu
special copy to Baba V
 
Last edited by a moderator:

Ummu unajua tatizo moja ni kwamba sijawahi kukutongoza,sasa huwezi kuongea kama hivi...................
 
Kwani kuna uchaguzi gani umetangazwa hapa chit chat..!?? Mbona sielewi.!??

hakuna uchaguzi uliotangazwa ila ni kuwaweka wapiga kura wangu attetion ili uchanguzi ukifanyika wasije wakadanyika tena mheshimiwa mwenye dhamana
 
mzee wa misemo,hebu pekuapekua kwenye halmashauri yako ya kichwa msemo mzuri iwe ndio msemo wangu wakati naomba kura rasmin natumain hutanitosa
haya chagua kati ya misemo ifuatayo
  1. mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
  2. kwenye msafara wa mamba na kenge wamo
  3. msafara wa simba hauhitaji escort
  4. hata mchwa wana malkia japo sio elizabeth
  5. kama huwezi kulipia shs 200 piga mbizi
  6. bakwinhe bakongeje..... [from usukumani]
  7. usiache mbachao kwa msala upitao
 
kwenye nyekundu nimeupenda ila huo unaonekana ni wa kianalogia zaidi embu tafuta wa kidigital

kwenye blue nitasfirie unaweza ukawa ni kichomi kwa mpinzani wngu.
 
hiyo blue Kongosho anaweza saidia kutafsiri

hiyo nyingine mbadala wake ni kuwa hata vitz inaweza ika-boost betry ya scania
 
Last edited by a moderator:
hiyo blue Kongosho anaweza saidia kutafsiri

hiyo nyingine mbadala wake ni kuwa hata vitz inaweza ika-boost betry ya scania

ha ha haaa! unanidanganya eeeeh au na we ndio uko mrengo wa kushoto? hebu kgs njoo uoloe jahazi linazama huku
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom