hoja ya kutongozea kura

hoja ya kutongozea kura

Naomba kutokufungamana na upande wowote, lakini nadhani we mzee Baba V unahitaji assistant/substitute
 
Last edited by a moderator:
Naomba kutokufungamana na upande wowote, lakini nadhani we mzee Baba V unahitaji assistant/substitute

Una hoja nzuri, hebu ifafanue vizuri ieleweke na wana Cc. je umesoma uzi wangu wa jana!???
 
Last edited by a moderator:
hebu hayo masuala ya mahusino tuyaache kwanza tujadili hoja ya msingi,natarajia kupelekea mashtaka yangu kwenye kamati ya maadili ya cc

Unazifahamu kamati za cc. nisaidie, ya maadili inaongozwa na nani!!?
 
Naomba kutokufungamana na upande wowote, lakini nadhani we mzee Baba V unahitaji assistant/substitute

tatizo huyu mzee ni mbishi sana yupo radhi aloge lakin sio kuachia gazi why?
 
Last edited by a moderator:
Ukimwamini Mungu uchawi hamna mtangulize tu kwa kila jambo, kwa 99% unafaa kugombea kasoro zilizopo ni za kibinadamu haziwezi kuzuia nia yako

Kila la kheriiii

ameeen asante kwa kunipa matumaini mapya ya ushindi
 
Back
Top Bottom