ummu kulthum
JF-Expert Member
- Feb 6, 2012
- 2,784
- 1,317
- Thread starter
- #21
Hiyo namba sita anamaanisha wakupe wakuongezee..
aaaah kumbe ndio maana yake basi si mbaya ila watanifiria nipo kwa ajili ya kula hongo mi nataka tupeana wakipa nawapa
Hiyo namba sita anamaanisha wakupe wakuongezee..
ninakudanganya kivipi ndio ukweli, au sindano ndogo inashona makoti makubwaha ha haaa! unanidanganya eeeeh au na we ndio uko mrengo wa kushoto? hebu kgs njoo uoloe jahazi linazama huku
aaaah kumbe ndio maana yake basi si mbaya ila watanifiria nipo kwa ajili ya kula hongo mi nataka tupeana wakipa nawapa
Hiyo namba sita anamaanisha wakupe wakuongezee..
kuwania nafasi ya mwenyekiti cc/anguko la mwenyekiti
cc hoyeee!!
salam ma bibi na mabwana,
ama awali ya yote napenda sana kuishukuru familia yangu hasa mume wangu, ajuaye nitibu maradhi ya moyo wangu platozoom ambaye yuko safari mashariki ya mbali.
kama ambavyo ilivyoada kwa kila kiongozi kuachia ngazi pale anapoona amekosea au kwa mujibu wa sheria.kwa sababu hizo najitokeza rasmi kugombea uenyekiti endapo tu kiti kitakuwa wazi.sina kashfa yeyote ile kwa wale walong humu watadhbitisha hilo.
sijawahi kufugwa kifungo cha aina yeyote ile.kazi hii naiweza na ninaitamani toka nikiwa kigoli na ninauzoefu nayo,kwa wale watafuatao wenza na wanaotaka ndoa sitazichelewesha,kwa wale watalaka na migogoro ya mapenzi naahidi kupunguza au kutokomeza kabisa tatizo hili
najua wanacc baadhi watadhihaki maamuzi yangu ila linawezekana leo lisingoje kesho
naomba kura zenu muda ukifika ili niwatumikie wana cc wenzangu
wakinana baba mtanipaaaaaa?
wakina mama mtanipaaaaaaaa?
natanguliza shukran zangu za dhati kwenu
special copy to Baba V
kweli umejiwezesha naamini kura utapata...ukiipata tu!..chondechonde nitaftie mabeshte wa kujishkiza kidogo..nimekua mpweke sn umu ndan..
Hu wamanaga e lelo...
usijali product zote zipo available,ki kubwa ni kura yako kwangu
ninakudanganya kivipi ndio ukweli, au sindano ndogo inashona makoti makubwa
Hu wamanaga e lelo...
kiswahili pleaaaase!mbona mleta ukabila?
bhadelelwa abhangi...ninga mlina du siri angu?"
Hebu edit hili neno mama najua ni typing error..........
Hu wamanaga e lelo...
Choh,kashina tuli bhinge....
Hakuna ukabila kaniuliza tu kumbe na wewe ni mtu,nami nikamwambia ndio umejua leo........
hoja zikiwa na mashiko ya kuwavta watu,uenyekiti utakua wako
yaaan nimejiandaa sana usijali kwa hilo pia nishanyaka nyaraka zake za siri subiri mchezo ukikaribia yaaan tayari kaisha.labda watu watembeze fitina