Mzee mwanakijiji hapa umechemsha kabisa. Kama kigezo ni kashfa na wala si uwezo basi tunaweza kupata raisi ambaye atakuwa dhaifu sana kushinda hata huyu tuliyenaye kwa sasa. Kumbuka huyu tuliyenaye sasa wapambe wake walimnadi kuwa ni mtu safi hana kashfa za kutisha.Ukiangalia sana kati ya viongozi wengi wa CCM na walioko serrikalini Membe ndiye anayeonekana kuja kuweza kumudu kuwa mgombea wa kiti cha Urais kupitia chama hicho. Ukimlinganisha na wagombea wengine (hasa Lowassa aliyejiuzulu kwa kashfa) ni Membe tu ambaye anaonekana kulindwa na mlolongo mkubwa wa kashfa mbalimbali na japo - kama nilivyosema wiki kadhaa nyuma - hajajiandaa kuwa Rais ni wazi miaka hii miwili iliyobakia inaweza kumsaidia kujitengenezea na kuwa a true "presidential candidate"
CCM ikimsimamisha Membe kama mgombea wake inaweza kuwa na nafasi ya kushinda tena kiti cha Urais; wakimsimamisha mtu mwingine yeyote itakuwa ni mwisho wa utawala wa CCM.
Ni kweli?
Mkuu Mkandara, alielala, usimwamshe!, ukimwamsha, utalala wewe!. Kama na wewe ni miongoni mwa wanaotaka ukombozi wa pili wa kweli wa Mtanzania ile 2015!, please dont bring to the sptlight these "spotless names", they are not good kwa ukombozi!.Mzee Mwanakijiji,
Sintopendekeza mtu isipokuwa kwa manufaa ya taifa na japokuwa Membe ni kichwa, muweza ukiachana na habari za Ufisadi wake maana huko CCM hakuna msafi kihivyo. Wayahudi walilaaniwa tena na Mungu mwenyewe lakini bado wanaitawala dunia.
Hivyo pamoja na utetezi wako bado nakuhakikishia kwamba CCM wataweza tu kushindana ikiwa watamsimamisha Asha Rose Migiro na hii itatokana na WANAWAKE kutumia kauli mbiu ya TUKIWEZESHWA TUNAWEZA. Itakuwa sio swala la chama bali wanawake against the rest...Na amini maneno yangu watu hawatatazama tena nyuma wala kutazama uwezo wa AshaRose isipokuwa ni mageuzi ambayo kwao yatawalemaza akili..
Kwa upande wa ushindani na hasa Chadema wanatakiwa kuanza mapema sana kumtafuta na kumwandaa mgombea japo kwa siri lakini nawatahadharisha mapema - KAZI IPO 2015 wajipange mapema na vizuri sana laa sivyo itakuwa aibu maana elimu ya Uraia haijazama vichwani mwa wananchi hivyo SHIDA na MATATIZO yanatangulia Mapenzi yao..
Mkuu wangu huwezi kuepuka ukweli kwamba CCM tayari wameisha anza maandalizi... Pengine wewe huyaoni ama siku hizi uko mbali sana na vijiwe vya Mujini..Kama mwanachama wa CDM ni lazima nitoe tahadhari japokuwa sina ushahidi lakini bora kabisa tujiandae kwa ushindani mkubwa sana na sio kudhania kwamba CCM imeshakufa ushindi ni dhahiri - Hakuna kitu hiyo! CCM wanajipanga japokuwa kuna makundi lakini inapofikia swala la uchaguzi mkuu tena kupitia sanduku la kura acha bana!..Kanuni ya chama inasisitiza ushindi kwa njia yoyote ile ni LAZIMA..Mkuu Mkandara, alielala, usimwamshe!, ukimwamsha, utalala wewe!. Kama na wewe ni miongoni mwa wanaotaka ukombozi wa pili wa kweli wa Mtanzania ile 2015!, please dont bring to the sptlight these "spotless names", they are not good kwa ukombozi!.
Ndio maana siku zote, nimekuwa nayaepuka majina kama ya kina Dr. Shein, Nahodha, Prof. Tibaijuka, Dr. Asha Rose, and the like!, these names are not good at all!.
P.
Mzee Mwanakijiji,
Sintopendekeza mtu isipokuwa kwa manufaa ya taifa na japokuwa Membe ni kichwa, muweza ukiachana na habari za Ufisadi wake maana huko CCM hakuna msafi kihivyo. Wayahudi walilaaniwa tena na Mungu mwenyewe lakini bado wanaitawala dunia.
Hivyo pamoja na utetezi wako bado nakuhakikishia kwamba CCM wataweza tu kushindana ikiwa watamsimamisha Asha Rose Migiro na hii itatokana na WANAWAKE kutumia kauli mbiu ya TUKIWEZESHWA TUNAWEZA. Itakuwa sio swala la chama bali wanawake against the rest...Na amini maneno yangu watu hawatatazama tena nyuma wala kutazama uwezo wa AshaRose isipokuwa ni mageuzi ambayo kwao yatawalemaza akili..
Kwa upande wa ushindani na hasa Chadema wanatakiwa kuanza mapema sana kumtafuta na kumwandaa mgombea japo kwa siri lakini nawatahadharisha mapema - KAZI IPO 2015 wajipange mapema na vizuri sana laa sivyo itakuwa aibu maana elimu ya Uraia haijazama vichwani mwa wananchi hivyo SHIDA na MATATIZO yanatangulia Mapenzi yao..
Unajua nguvu ya UMOJA WA WANAWAKE (UWT -CCM) ktk utawala wa kiafrika?.. Sii swla la wanawake kumshabikia AshaRose bali nguvu ya UWT mikoani ndio itamwezesha..Hivi unajua kwamba JK amewez akupata kura nyingi mwaka 2010 kupitia ushawishi mkubwa wa UWT..Mkuu wangu, Kuna majina mawili tu sasa hivi - Membe na AshaRose tusipuuze hata mojawapo..Nafikiri unasahau kitu kimoja na ni kosa watu wengi sana Duniani wanafanya wewe sio wa kwanza watu wengi hufikiri kwamba ukimsimamisha mwanamke basi atashinda kwa maana wanawake wote wataungana nae kama mwenzao, hiyo sio kweli na haijawahi kufanikiwa mahali popote Duniani, mara nyingi imekuwa ukiweka mgombea wa kike wanawake ndio wanakuwa wa kwanza kumpinga na kura nyingi huwa zinatoka kwa wanaume na sio wanawake wenzake, kwa hiyo kama wakimsimamisha Bib. Migiro kwa kigezo cha ufanisi wake hapo labda sawa lakini wakimsimamisha kwa kigezo cha uanamke wake hatopata hata nusu ya kura zinazohitajika kwa yeye kushinda!
Mkuu Mzee Mwanakijiji, kwanza asante kwa sasa kukubali ukweli halisi kuwa determinant factor ya ukombozi wa pili wa kweli wa Mtanzania, lies with mgombea wa CCM na ndio maana mimi siku zote nimempigania EL!, na nikasema wazi, kama sio yeye then ni Membe!.
Siku zote nimempigania EL nikiamini he is the one and only asset ya kuinusuru kifo CCM, 2015!. Lakini baada ya kuisoma ile "safety net" ya bilioni 400, nimekubali matokeo kuwa 2015, ni CCM tena, with or without EL!. Hivyo by now EL is not an asset anymore!, has turned into a liability, just waiting to be dispossed off!. Mimi niliamini wange tumia nyundo ya ujumbe wa NEC kumcrush off!, kumbe wamerealise wafuasi wake lukuki!, the need them kwanza awa rally behind Membe ndipo "disposal" process ifuatie!.
Kwanye ule mtandao wa JK wa 2005, RA was not the brain behind, he was just a "cash cow"!. Kinana was just a figure head!, there were "the opparatives" who were the "think tank"!. Nikiwa Dodoma juzi kwenye budget ya Membe, nimewaona hawa "opperatives" wamesha ji "line up" behind Membe!.
Miongoni mwa silaha kubwa kabisa za kutumia ni "the control" of "print media"!. Ile elevation ya "mwana jf mwenzetu" aliyoipata toka "mbeba mikoba wa Membe" turned into a "print media regulator", "overningt"!, sio kwa mahati mbaya, its a part of the plan!. With "print media" on safe hands!, e-media doesnt matter much!. The the man for 2015 is "Membe"!.
Nawashauri, wale wote, wenye mapenzi mema na taifa hili, lets rally behind EL, or Membe for CCM candidate, 2015, ili taifa letu lipate, ukombozi wa kweli wa pili wa Mtanzania!.
EL for 2015!, if not then Membe!.
Pasco.
Hujamsoma Pasco, between the lines...inawashinda wengi sana hapa JF.watanzania hawazungumzii kuinusuru CCM,wanazungumzia kuinusuru TANZANIA,so unamtaka Lowasa aje kuinusuru ccm,???si chama
Mkuu Mzee Mwanakijiji, kwanza asante kwa sasa kukubali ukweli halisi kuwa determinant factor ya ukombozi wa pili wa kweli wa Mtanzania, lies with mgombea wa CCM na ndio maana mimi siku zote nimempigania EL!, na nikasema wazi, kama sio yeye then ni Membe!.
Siku zote nimempigania EL nikiamini he is the one and only asset ya kuinusuru kifo CCM, 2015!. Lakini baada ya kuisoma ile "safety net" ya bilioni 400, nimekubali matokeo kuwa 2015, ni CCM tena, with or without EL!. Hivyo by now EL is not an asset anymore!, has turned into a liability, just waiting to be dispossed off!. Mimi niliamini wange tumia nyundo ya ujumbe wa NEC kumcrush off!, kumbe wamerealise wafuasi wake lukuki!, the need them kwanza awa rally behind Membe ndipo "disposal" process ifuatie!.
Kwanye ule mtandao wa JK wa 2005, RA was not the brain behind, he was just a "cash cow"!. Kinana was just a figure head!, there were "the opparatives" who were the "think tank"!. Nikiwa Dodoma juzi kwenye budget ya Membe, nimewaona hawa "opperatives" wamesha ji "line up" behind Membe!.
Miongoni mwa silaha kubwa kabisa za kutumia ni "the control" of "print media"!. Ile elevation ya "mwana jf mwenzetu" aliyoipata toka "mbeba mikoba wa Membe" turned into a "print media regulator", "overningt"!, sio kwa mahati mbaya, its a part of the plan!. With "print media" on safe hands!, e-media doesnt matter much!. The the man for 2015 is "Membe"!.
Nawashauri, wale wote, wenye mapenzi mema na taifa hili, lets rally behind EL, or Membe for CCM candidate, 2015, ili taifa letu lipate, ukombozi wa kweli wa pili wa Mtanzania!.
EL for 2015!, if not then Membe!.
Pasco.
Unajua nguvu ya UMOJA WA WANAWAKE (UWT -CCM) ktk utawala wa kiafrika?.. Sii swla la wanawake kumshabikia AshaRose bali nguvu ya UWT mikoani ndio itamwezesha..Hivi unajua kwamba JK amewez akupata kura nyingi mwaka 2010 kupitia ushawishi mkubwa wa UWT..Mkuu wangu, Kuna majina mawili tu sasa hivi - Membe na AshaRose tusipuuze hata mojawapo..
Mkuu Bajabiri, hii inaitwa "negation"!, kukanusha kitu ambacho ni facts!.watanzania hawazungumzii kuinusuru CCM,wanazungumzia kuinusuru TANZANIA,so unamtaka Lowasa aje kuinusuru ccm,???si chama
Mama Clinton na huyo wa Liberia walikuwa na UMOJA wa WANAWAKE nyuma yao?...Tunazungumzia Uwezekano wa AshaRose Migiro kuwa mwiba ktk uchaguzi wetu na sababu nimezisema, sasa huyu Hilary ambaye katumia UKE wake kuwa kikwazo unadhani wanawake wengine watamwelewa. Ni UWT watakao muuza AshaRose kwa wananchi na hii lazima itabadilisha sana mwelekeo wa wapiga kura kwa sababu atawakilisha wanawake na hatari yake tunaiona kama alivyokuwa akiuzwa mama Mongela. Ni muhimu kujipanga kutanguliza SERA mbele ya ushandani utakao tukabiri maana itakuwa hivyo..Hayo unayoyasema kuhusu nguvu ya UWT ni sawa kabisa lakini hayo ni mambo ya kisiasa na mimi naongelea mambo ya kisaikolojia wanawake siku zote huwa hawasupport mgombea kwa nguvu zote kwa kuwa tu ni mwanamke mifano iko mingi kuanzia kwa Bib. Hilary Clinton na Bw.Obama mpaka Hilary alikuwa analia ili kupata huruma ya wanawake lakini wapi haya twende Liberia kwa huyu role Model wa Bib. Migiro, Bib. Sirleaf uchaguzi wake wa kwanza pamoja na kampeni zote za nje na ndani ya Liberia lakini bado hakufurukuta sana kwa Bw.George Weah na waligawana kura karibu sawa na wengine hata kusema kwama Bw. Weah alishinda.
Na hiyo ni chemistry ya Wanawake na hamna kitu unaweza kufanya kubadilisha hilo, kwa hiyo hao UWT watapiga kampeni wanavyotaka lakini likija kwenye kupiga kura utaona mwenyewe kwa hiyo hapo wakiwa clever CCM waonyeshe uwezo wake na wajaribu kumfanya akubalike na Wanaume hapo watakuwa wamefanikiwa kwani Wanawake huwa wana tabia ya kufwata wanaume wanachopenda kinyume na hapo wataanguakia pua!
Ukiangalia sana kati ya viongozi wengi wa CCM na walioko serrikalini Membe ndiye anayeonekana kuja kuweza kumudu kuwa mgombea wa kiti cha Urais kupitia chama hicho. Ukimlinganisha na wagombea wengine (hasa Lowassa aliyejiuzulu kwa kashfa) ni Membe tu ambaye anaonekana kulindwa na mlolongo mkubwa wa kashfa mbalimbali na japo - kama nilivyosema wiki kadhaa nyuma - hajajiandaa kuwa Rais ni wazi miaka hii miwili iliyobakia inaweza kumsaidia kujitengenezea na kuwa a true "presidential candidate"
CCM ikimsimamisha Membe kama mgombea wake inaweza kuwa na nafasi ya kushinda tena kiti cha Urais; wakimsimamisha mtu mwingine yeyote itakuwa ni mwisho wa utawala wa CCM.
Ni kweli?
Mama Clinton na huyo wa Liberia walikuwa na UMOJA wa WANAWAKE nyuma yao?...Tunazungumzia Uwezekano wa AshaRose Migiro kuwa mwiba ktk uchaguzi wetu na sababu nimezisema, sasa huyu Hilary ambaye katumia UKE wake kuwa kikwazo unadhani wanawake wengine watamwelewa. Ni UWT watakao muuza AshaRose kwa wananchi na hii lazima itabadilisha sana mwelekeo wa wapiga kura kwa sababu atawakilisha wanawake na hatari yake tunaiona kama alivyokuwa akiuzwa mama Mongela. Ni muhimu kujipanga kutanguliza SERA mbele ya ushandani utakao tukabiri maana itakuwa hivyo..