Hoja funga mwaka: Ni kitu gani kisifanyike 2017 ndani ya utawala wa Rais Magufuli?

Asante sana technically...

Ushauri wangu! Aache ubabe kwa wazawa na wageni pia, hali ya maisha kwa sasa sio nzuri, yeye halijui hilo? na wageni wanakimbia sababu ya kodi kupandishiwa... wenye maduka,viwanja manyumba yanataifishwa na kurudi serikalini this is not fair! ....kipindi cha kikwete hali ya maisha mbona ilikuwa poa tu, na wageni walikuwa hawapati manyanyaso kiasi hicho kama tunavyoona awamu hii ya kibabe....

Ushauri wangu ajiuzulu kwa manufaa ya umma kutokana na hali halisi ya kiuchumi na kijamii ilivyo mitaani na vijijini. Jambo hili la kuamua kung'atuka lipo kisheria na kikatiba na siyo uchochezi hayo ni mawazo yangu kama mwananchi. Mwl. Nyerere alikiri sera zake zimeshindwa na akaamua kung'atuka hivyo si jambo geni.
 
Asante sana technically...

Ushauri wangu! Aache ubabe kwa wazawa na wageni pia, hali ya maisha kwa sasa sio nzuri, yeye halijui hilo? na wageni wanakimbia sababu ya kodi kupandishiwa... wenye maduka,viwanja manyumba yanataifishwa na kurudi serikalini this is not fair! ....kipindi cha kikwete hali ya maisha mbona ilikuwa poa tu, na wageni walikuwa hawapati manyanyaso kiasi hicho kama tunavyoona awamu hii ya kibabe....

Sasa Kama Kipindi Cha Kikwete Mambo Yalikuwa Poa, Huu Wimbo Wa Mabadiliko Mliokuwa Mnaimba Mlikuwa Mnamaanisha Nini ?
 
Aachie ajira walau kama mwenzake JK.

Wakuu nataka mfunguke tukielekea kumaliza mwaka nadhani rais Magufuli atapitia hapa na achukue maoni kwa ajiri ya kuanza mwaka mpya 2017.

Nini kinakuchukiza ndani ya utawala wa rais magufuli ambacho unataka ajirekebishe mwaka 2017?.

Binafisi Mimi swala lililonichanganya mwaka huu ni kitendo cha kubadilisha matumizi ya Rambi rambi ya wahanga wa bukoba hili swala limeniuma sana, likitokea janga jingine naona kama itakuwa ngumu watu kuchangia.

Je kwako ni nini?

Iwe ni mambo anayoyafanya yeye au wateule wake au serikali kwa ujumla hata ikiwezekana huko uliko mtaani au kijijini ongea kwa Uhuru..

Sema mambo usiyapenda yaendelee mwaka mpya 2017 hapa .

NB: Tuondoe uchama katika mada hii

Lengo langu Rais apitie hapa na kuchukua maoni ya wananchi wanachokitaka kuelekea 2017 maana sasa hivi hata waliopo vijijini tupo nao humu wengi.
Wa
 
Back
Top Bottom