Hoja Bungeni; Kujadili Hali ya Amani Tandahimba

Hoo wananchi wakamatwe mara moja na kuwekwa ndani. Haiwezekani kuvuruga amani iliyojengwa kwa miaka 50. Serikali iko makini sana wasiichezee wataona cha moto.

Serikali ipi iko makini?Bungeni wanataja mawaziri wezi,Zanzibar wanaandamana kudai hatma ya Muungano!Amani ipi unayoiongelea??
 
By the way hawa cuf ni kama walihongwa trilion 3 ili wakae kimya dhidi ya ushindi wa urais huko zenji. Mnafikiri hatujui sasa kawakweli hivi hamuoni sera ya cuf ni kukaa kimya ili wasije wakadaiwa kishika uchumba wa muafaka wa serkali ya kitaifa. Kuhongwa huku ni pigo la demokrasia.??????????????
we laigwanani.umetumwa?.kwa miaka 50.ya ujinga na maradh unaita amani.mtakalia visu vile mlivyoituhumu cuf kuingiza 2015.wananch wamefunguka.wenyewe walime korosho af li veve limoja toka dar.likawakoloni wananzengo.jiandae kwa moto. Huo.
 
Back
Top Bottom