The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,911
- 2,891
Nashauri mbunge yeyote ajitolee kupeleka mswada binafsi bungeni ili kunusuru elimu ya vijana wetu kabla mambo hayajaharibika sana Kwani ni dhahiri kua tunapigwa changa la macho tu inawezekana huu ni mpango kabambe wa watawala wetu kuwafanya watoto wa maskini wapate elimu duni na hovyo kabisa ikiwa serikali ingekua na Nia ya dhati inngezipandisha hadhi Shule ZAKE ili ziwe Sawa na Shule binafsi