Huna sababu ya kumhofia kama hajakupa sababu ya kufanya hivyo ........
Ukiwa na hofu kama hajakupa sababu ya wewe kuwa na hofu hiyo juu yake basi una tatizo kubwa la kutokujiamini
Kwanini unakuwa na hofu na wasiwasi wakati mazingira yanakuambia uwe na amani?

Unakwenda wapi?
Safi sana ....
Hofu ya nini wakati sijakupa sababu ya kuwa nayo?
Kipi kinachowezekana?
Unataka solution ya kitu gani bibie?