imma.one
JF-Expert Member
- Sep 10, 2011
- 542
- 37
Wewe ni mjiinga. Magufuli ndiyo rais.Nimekuwa nikifuatilia mchakato kwa makini toka kuundwa ACT mpaka mpasuko huu wa chadema ambao unaleta hitilafu kwenye ukawa.
Hofu yangu ni kama huyu lowasa anatumika na ccm kuleta mpasuko kwenye ukawa huku akiendelea kujifanya anawachukia ccm.
Kuna ukweli uliojificha juu ya lowasa.
1.Anahitaji mabadiliko kwa alichonacho juu ya TZ ambacho wameshindwa ccm
2.Kutumiwa na wana ccm kuuvunja muungano wa ukawa ili kutoa mianya ya ccm kupenya.
Mungu atuongize wazo la kwanza liwe sahihi.
Kwa upande wangu Lowasa si mwema kiasi hicho wala magufuli hana sifa kuwa raisi.
Ila ukweli watanzania tunahitaji mabadiliko ndani ya nchi hii kwa maaana tujitoe sadaka kwa lolote as long as ccm iweze kutoka kwenye hiki kiti ili tuyatathmini maisha ya nchi baadae.
Haya yanayotokea ni ccm kuendelea kupunguza nguzo ili hata wakifanya wizi wasinngizie kuwa mpasuko uliondoka na watu.
Lakini kwa Sasa ccm waelewe kuwa watanzania tunataka mabadiliko sio cuf,chadema wala nccr.
Natamani kusikia alichosema lowasa baada ya speech ya Dr.silaa pale serena.
MUNGU TUONGOZE SISI NA NCHI YETU
maana kukitoa chama pinzani kwenye madaraka tunahitaji umoja na mshikamano.
Hii nchi mtu akisha miliki komputa lazima awe mchambuzi wa siasaNimekuwa nikifuatilia mchakato kwa makini toka kuundwa ACT mpaka mpasuko huu wa chadema ambao unaleta hitilafu kwenye ukawa.
Hofu yangu ni kama huyu lowasa anatumika na ccm kuleta mpasuko kwenye ukawa huku akiendelea kujifanya anawachukia ccm.
Kuna ukweli uliojificha juu ya lowasa.
1.Anahitaji mabadiliko kwa alichonacho juu ya TZ ambacho wameshindwa ccm
2.Kutumiwa na wana ccm kuuvunja muungano wa ukawa ili kutoa mianya ya ccm kupenya.
Mungu atuongize wazo la kwanza liwe sahihi.
Kwa upande wangu Lowasa si mwema kiasi hicho wala magufuli hana sifa kuwa raisi.
Ila ukweli watanzania tunahitaji mabadiliko ndani ya nchi hii kwa maaana tujitoe sadaka kwa lolote as long as ccm iweze kutoka kwenye hiki kiti ili tuyatathmini maisha ya nchi baadae.
Haya yanayotokea ni ccm kuendelea kupunguza nguzo ili hata wakifanya wizi wasinngizie kuwa mpasuko uliondoka na watu.
Lakini kwa Sasa ccm waelewe kuwa watanzania tunataka mabadiliko sio cuf,chadema wala nccr.
Natamani kusikia alichosema lowasa baada ya speech ya Dr.silaa pale serena.
MUNGU TUONGOZE SISI NA NCHI YETU
maana kukitoa chama pinzani kwenye madaraka tunahitaji umoja na mshikamano.
Nimekuwa nikifuatilia mchakato kwa makini toka kuundwa ACT mpaka mpasuko huu wa chadema ambao unaleta hitilafu kwenye ukawa.
Hofu yangu ni kama huyu lowasa anatumika na ccm kuleta mpasuko kwenye ukawa huku akiendelea kujifanya anawachukia ccm.
Kuna ukweli uliojificha juu ya lowasa.
1.Anahitaji mabadiliko kwa alichonacho juu ya TZ ambacho wameshindwa ccm
2.Kutumiwa na wana ccm kuuvunja muungano wa ukawa ili kutoa mianya ya ccm kupenya.
Mungu atuongize wazo la kwanza liwe sahihi.
Kwa upande wangu Lowasa si mwema kiasi hicho wala magufuli hana sifa kuwa raisi.
Ila ukweli watanzania tunahitaji mabadiliko ndani ya nchi hii kwa maaana tujitoe sadaka kwa lolote as long as ccm iweze kutoka kwenye hiki kiti ili tuyatathmini maisha ya nchi baadae.
Haya yanayotokea ni ccm kuendelea kupunguza nguzo ili hata wakifanya wizi wasinngizie kuwa mpasuko uliondoka na watu.
Lakini kwa Sasa ccm waelewe kuwa watanzania tunataka mabadiliko sio cuf,chadema wala nccr.
Natamani kusikia alichosema lowasa baada ya speech ya Dr.silaa pale serena.
MUNGU TUONGOZE SISI NA NCHI YETU
maana kukitoa chama pinzani kwenye madaraka tunahitaji umoja na mshikamano.[/QUO
Lowassa si mtu wa kujibu chochote kinachoelekezwa kwake.Labda tuombe Mungu wapambe wake wajibu lakini yy aweza tu Labda kusema "kama una ushahidi nenda mahakamani au huna shut up". Lowassa angekuwa ni mtu wa kujibu tuhuma na pengine kuibua madudu mengine tayari watu tushamaliza uchaguzi siku nyingiiii.Huko CCM anakotoka ni kama hajaamua kutoka kwasababu yeye anashambuliwa lakini ameganda.Hashambulii wala hadefend anachofanya ni kujaribu kuondoa hatari mashambulizi yanapozidi na hii nnaiona kama udhaifu wake.Anajua madubwana mengi huko atokako ni issue ya kuzungumza usiri hautusaidii wala haumsaidii yy.Yy amekalia kusema nitafutieni kura kwa mkeo,mmeo,jamaa yako na bla bla zingine,Tuambie kwann tumeendelea kuwa maskini tangu uhuru?Nn wanafanya huko utokako ambacho unataka ukibadili!
Rais ni Magufuli tu. wengine ni wasindikizaji
Khaa!! ndio kazi kwenu nyie watanzania mtueleweshe sisi wapigakura siyo kupayukapayuka tuUKAWA is still as strong as before... hata CCM watumie mbinu zao zote hawatuyumbishi wananchi kwa muda huu.. we need changes, we need LOWASSA!!
Khaa!! Nyie kina nani?Lowasa ndo chaguo letu no matter wat
Wewe ni mjiinga. Magufuli ndiyo rais.