Mwekahazinagao
Member
- Jul 15, 2013
- 35
- 1
Hii taarifa waandikie kaskazini watakueelewa
Magufuli ndiye Rais wa awamu yatano na haitaji hata goli la mkono kwan amewaacha kwa mbali sn wapinzan wake!
Lowasa hatumiwi but kwel kaichoka ccm kwel kwel coz waonevu sana afu asingeenda na watu wote hao.
Wanna jamvi naomba kupata mawazo kwanini lowasa huwa hazungumzii chochote baada ya hawa viongozi wa juu wanapojiengue na kuzungumzia mengi juu yake?
Dr Magufuli ndiye rais wako utake usitake. UKAWA mnatengeneza photoshop kutumia CGI mnadanganya eti mna watu wengi. Pia tu lowasa ni mwizi fisadi anatakiwa achomwe moto afe!Muda wote wacha upuuzi kuendelea kuamini kwenye ujinga wa hawa wenzako wa ccm baba YAKO,babu zako wamekuwa wakirubuniwa na hawa ccm unaowaunga mkono na ilani hiyo hiyo ndio itamuongoza magufuli kutawala
Hivyo unatamani Tanzania hii isiyopiga hatua iendelee kuwepo au hufahamu nini kuhusu upuuzi wa ccm ndani ya nchi hii.
Au ndio muda wote na jina lako huwezi kubadilika utaendelea kuwa hivyo muda wote