Hofu ya ugaidi: Ibada ya mkesha wa pasaka kuanza saa 11 jioni!;

Status
Not open for further replies.
Nchi yetu ni ya undugu mkubwa baina ya waislamu na wakristo na kama usingekuwa undugu huo wachochezi hao wachache wangekuwa wamefanikiwa kuwasha moto wa udini.

Kazi yetu kubwa ni kushirikiana sote bila kujali dini zetu kuzima cheche za moto huu zisilipuke. Kila mtu ataungua kwani wote tunaishi nyumba moja ( Tanzania).

Uliwahi kusikia na kuona wapi nyumba unayoishi inapolipuka kwa moto ukapata uhakiki wa 100% kwa 100% kwamba utasalimika? na kama utasalika basi baadhi ya wanafamilia wako watapoteza maisha kufuatia moto huo, hususan unapokuwa moto mkubwa ni balaa zaidi.
 


Hayo ni mafanikio ya kujivunia ya serikali ya dokta zaifu.
 
Wakisema TZ inaongozwa na mfumo Kristo hawana akili kwani viongozi wengi ni waisla.Rais,makam,IGP nk.Ndo kisa wapo kimya
 
Kweli kabisa manake hili vugu vugu la kuteka na dhururu watu ama kuua kabisa linatishia amani yetu
 
Si waliapa kwenye mihadhara,kwamba ukristo lazima ung'oke(tena ukatoliki kwa msisitizo) zanzibar?Mwingine nae akasisitiza wakati tunaomboleza kifo cha padre Mushi kwamba Pasaka tutaisheherekea kwa majonzi,sasa tunahitaji nini?
 
ya nini utegemee serikali? Ambayo haina msaada soon itafahamika na nasema kwa tumepofika wabongo jiandaen kufa dawa ni kushika silaha tu
 
au ndiyo wameanza kuwaandaa waumini ili wamuondoe kikwete madarakani?

umekosea kidogo,tuiondoe CCM madarakani sio Kikwete!tunajua magaidi si waislam wala Chadema,ni CCM!Hilo tunalijua vizuuri sana.subirini 2015 mtajua kwa nini kuku hakojoi!
 
Tusiogope kuwa wafia dini. Mungu anatupigania. Kwa damu takatifu ya bwana yesu tutashinda yote.
 
Hapa tunatahadharishana na kupeana maarifa ya nini kifanyike ili kuisaidia nchi yetu iondokane na hali hii iliyoletwa na watawala wanafiki wasioona zaidi ya urefu wa pua zao, watawala wafitini wanaovikingia kifua vikundi vyenye kufitinisha watu wa nchi moja waliokaa kama ndugu kwa miaka dahari. Ningeelewa werevu wako kama maneno uliyotumia hapo ya unafiki na ufitini ungeyaelekeza sehemu stahiki, yaani kwa watawala wanaotugawa kwa dini zetu, makabila yetu na maeneo tunayotoka. Nirudie kusisitiza kwamba tuwakatae na kuwazomea watawala wanaosimama majukwaani wakihubiri ukanda na udini. Tanzania ni nchi yetu sote, waislam kwa wakristo, wahindu, wapagani, wenye dini za asili, waganga na wachawi sote tuwe wamoja kupinga na kukataa kwa nguvu zote njama za kutugawa.
 

Naelewa dhambi zipo...

Ndio maana tunaamini..kuna moto na pepo....
 
Huwa naipenda ile silaha wanayotumia Maaskofu kupitia biblia..."Waefeso 6:10-20".....hii quote ni makini na nguzo kubwa kwa wakristo nyakati hizi....hakika...
 
Viongozi wa dini hawaishi visingizio na kujenga chuki bila shaka huu ni udhalilishaji kwetu sisi waislamu. Hatutoacha kuwa waislamu wa ukweli kama mliwazoea waislamu poa na mashehe poa kama wale baadhi wa bakwata basi mjue sasa tupo kwenye jihad zaidi.
Tumezaliwa waislamu wote ukafiri mliuchagua nyie na wazazi wenu
 
Likitokea lolote siku hiyo mahala popote ndani ya Tanzania bara na visiwani, huyu bwana ndio awe wa kwanza kukamatwa na kuhojiwa maana yeye tayari anazo taharifa za ugaidi siku hiyo. Sasa hawaeleze polisi halizitoa wapi au ikiwezekana akamatwe sasa hivi kuepeua majanga na hao majangili wakamatwe mapema.

Maana mtu hawezi kujianzia mambo makubwa kiasi hiki unless hamnazo huko juu.
 
Shida ya watu hao ni
1. Wivu
2. Uvivu
3. Ujinga
4. Majungu

Udini ni zao la Ujinga.
 
kuna watu hiyo hofu wanaitengeneza kwa maslahi yao binafsi. walianza na kusema kuwa serikali inawapendelea waislam, baadaye wakazusha kuwa kuna waislam wametoka somalia kuwadhuru wakristo siku ya pasaka. hawa watu wajinga mno

Wajinga ni waislam ambao wana ona dawa pekee ya kuundoa ukristo ni kuuwa ua watumishi wake,Yaani na swala zote za waislam ahadi za Mungu wao ni mito ya pombe,na wanawake wenye macho makubwa kama vikombe.Yaani mnaondoa uhai wa binadamu mwenzenu kisa pombe!tukutane bar kesho niwa nunulie,Sasa hapo wewe mwenyewe pima nani? ni mjinga.
 
Waislamu ndiyo hamnazo kabisa,Wanachojua wenyewe ni samwaleko,Alafu wenye taarifa za ugaidi ni shehe PONDA SHEKH ILUNGA,NA WAISLAM WOTE WALIOHUZURIA KONGAMANO LA KUWA CHINJA WAKRISTO.ALEKYMFAKATU SHEHE(NGURUWE)
 
Tutaanza ibada mapema saa moja jioni hatuvai bullet proof silaha yetu ni maombi na sala na wiki hii tumeingia katika maombi juu ya amani ya taifa hili,mungu wetu wla amani atatenda muujiza soon.

Rangi ya kijani ina maana gani?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…