Amina Thomas
JF-Expert Member
- Mar 9, 2008
- 272
- 130
Niko kariakoo. Hali mpaka sasa ni swari sana ila maduka na biashara zote zimefungwa. Watu wanashauriwa kuondoka kwa hofu ya kwamba baada ya swala ya ijumaa kunaweza kukazuka ghasia. Piki piki na defender za polisi na ffu zinaranda randa kona zote k/koo. Hata mimi naondoka zangu!