Licking Wounds
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 4,511
- 6,099
Yupo humu kitambo sana kunguni wa ulayaAmini usiamini, kuna mtu atatengeneza ID mpya kujiita KUNGUNI WA ULAYA🤣🤣🤣
Yupo humu kitambo sana kunguni wa ulayaAmini usiamini, kuna mtu atatengeneza ID mpya kujiita KUNGUNI WA ULAYA🤣🤣🤣
Sikujua hilo mwanzo, alipaswa kuwa maarufu kutokana na unique I'd sasa muda mwingi yupo kimya😄😄Yupo humu kitambo sana kunguni wa ulaya
Hajui kwamba ameianzisha balaa ULAYA huko mpaka kuripotiwa kwenye vyombo vikubwa vya habari?😂😂kunguni wa ulaya unaitwa huku
Kaleta noma kinoma noma😀😀Hajui kwamba ameianzisha balaa ULAYA huko mpaka kuripotiwa kwenye vyombo vikubwa vya habari?😂😂
Hahaaaaa, anawasambaratisha wafaransa sasa. Kunguni wa ulaya sio mchezo.kunguni wa ulaya unaitwa huku