ngosha wa mwanza
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 4,921
- 15,432
Mtu akifa mnasamehe...Hata mali za hayati Leigwanan Lowassa pia zimo kwenye orodha au yeye tulishamsafisha?
Mtu akifa mnasamehe...Hata mali za hayati Leigwanan Lowassa pia zimo kwenye orodha au yeye tulishamsafisha?
Mwaka huu tunataka tuwapige CCM pigo hawataaminiJeshi lingechukua nchi lingezuia uharibifu wa mali nyingi sana.
Tutarudi salama salimini kwenye vijiwe vyetu tutaanza kubishana mambo ya Yanga na Simba hii hulka yetu sisi waswazi 😀Alafu jioni mnarudi majumbani mwenu kulala.hakuna kilichobadilika?
Na raisi yule yule.Tutarudi salama salimini kwenye vijiwe vyetu tutaanza kubishana mambo ya Yanga na Simba hii hulka yetu sisi waswazi 😀
Hata kama kaacha mali inayosadikika kuwa kaipata kifisadi?Mtu akifa mnasamehe...
Nasikia wameshaambiwa waandae Chakula Cha mwezi mzima Dona na Dagaa wakushatoMimi Nina ndugu ndani ya jeshi la polisi. Wamo polisi mpaka wa nyota tatu.
Kuna hofu kubwa na wengi Wao wanaanza kuziondoa familia zao Dar.
Wengi wanaombea waandamanaji wawe wengi sana ili Polisi wasiweze kutumia ukatili na badala yake wakimbie kwa kuzidiwa.
Wanasema shida itakuwa waandamanaji wakiwa Wachache. Watalazimika kutumia ukatili mkubwa kama walivyoelekezwa na viongozi wa juu.
Kuna polisi wana wasiwasi wa nyumba zao kuchomwa moto. Hofu ni kubwa sana.
Wanasema hii ni mara ya kwanza wanaona maandamano yanaweza kufanikiwa. Hawajiamini wana uwezo wa kuyazuia raia wakiwa wengi.
Pia kuna polisi wengi wanaunga mkono maandamano. Ila hiyo ni kazi na hawawezi kukataa. Lakini wakipata mwanya wa kukimbia, watakimbia.
kuna polisi wameandaa nguo kabisa za kiraia kwa ajili ya kuvua uniforms na kuvaa hizo kujiokoa wakizidiwa. Hii yote ni dalili ya hofu kubwa.
Tension ni kubwa sana.
Tokea enzi za Baba wa taifa Mwalimu Nyerere tulikuwa tunatawaliwa kibabe tu hata pale mfumo wa vyama vingi ulipopendekezwa tuliukataa kwa asilimia 80 ikabidi tulazimishwe kuukubali.Na raisi yule yule.
Shida ni rais au ccm?Tokea enzi za Baba wa taifa Mwalimu Nyerere tulikuwa tunatawaliwa kibabe tu hata pale mfumo wa vyama vingi ulipopendekezwa tuliukataa kwa asilimia 80 ikabidi tulazimishwe kuukubali.
Kwahiyo na huyu Mama atatupelekesha kibabe kama watangulizi wake.
Shida ni mfumo uliotengenezwa na CCM.Shida ni rais au ccm?
Mkuu kwahiyo ccm itatawala milele?Tokea enzi za Baba wa taifa Mwalimu Nyerere tulikuwa tunatawaliwa kibabe tu hata pale mfumo wa vyama vingi ulipopendekezwa tuliukataa kwa asilimia 80 ikabidi tulazimishwe kuukubali.
Kwahiyo na huyu Mama atatupelekesha kibabe kama watangulizi wake.
Kwenye taifa la waoga tena itastawi zaidi.Mkuu kwahiyo ccm itatawala milele?
Hiyo siku watachagua walinde watu barabarani au wakalinde mali zao maana wao wanajua watu wataandamana kwa wingi barabarani wanasahau watu wanaenda kudeal na mali zao na miundo mbinu yaoTunajipanga sanaa kuchoma moto mali za mafisadi.....wajiandaee....hakuna fisadi atabalia salama....!! Muda utaongeaa
Ungekuwa hata umepita jeshini ungejua ni kwanini lakini kwa vile hukuwahi huwezi juaKwanini wakubali kutumika hivyo? Wanaotumika maisha yao ni magumu kama yetu, wanufaika ni wakubwa wao. Kwanini wanakubali kutumika??? Hawa watu wananishangaza sana. Au utaniambia wanafata kiapo?