Hofu kubwa ndani ya Jeshi la Polisi

Hofu kubwa ndani ya Jeshi la Polisi

Sijui, labda wanalinda ugali wa familia zao. Ila nawasihi tu siku ya maandamano ni heri mapolisi waende kama ushahidi tu na kulinda wananchi wanaoandamana maana ndio kazi yao. Ila kamwe wasijaribu kuzuia maandamano maana wanajihatarishia usalama wao
Kabisa mkuu raia washachoka ule woga wa kufa hawana tena, wawe wapole tuu.
 
Mimi Nina ndugu ndani ya jeshi la polisi. Wamo polisi mpaka wa nyota tatu.

Kuna hofu kubwa na wengi Wao wanaanza kuziondoa familia zao Dar.

Wengi wanaombea waandamanaji wawe wengi sana ili Polisi wasiweze kutumia ukatili na badala yake wakimbie kwa kuzidiwa.
Wanasema shida itakuwa waandamanaji wakiwa Wachache. Watalazimika kutumia ukatili mkubwa kama walivyoelekezwa na viongozi wa juu.

Kuna polisi wana wasiwasi wa nyumba zao kuchomwa moto. Hofu ni kubwa sana.

Wanasema hii ni mara ya kwanza wanaona maandamano yanaweza kufanikiwa. Hawajiamini wana uwezo wa kuyazuia raia wakiwa wengi.

Pia kuna polisi wengi wanaunga mkono maandamano. Ila hiyo ni kazi na hawawezi kukataa. Lakini wakipata mwanya wa kukimbia, watakimbia.

kuna polisi wameandaa nguo kabisa za kiraia kwa ajili ya kuvua uniforms na kuvaa hizo kujiokoa wakizidiwa. Hii yote ni dalili ya hofu kubwa.

Tension ni kubwa sana.
Mpumbavu we, kawatishe watu wengine. Kwanza hakuna watanzania halisi (ambao ndo wengi) walio tayari kuandamana kwa hoja zenu mfu nyumbu nyie! Hata hivyo, jaribuni muone
 
Ikulu inakuwapango la wahuni na wapiga deal.....nchi imefilisika kabisa....wqnqchezea pesa kila mkuu chombo cha ulinzi ana billions amew3kewa akae kimya nani kutukomboa kama Taifa? Wazee wa hovyo wamenunuliwa wote eti Wasira na butiku khaaa naumia sanaa....pesa kitu kibaya sanaa.....wamenunuliwa wote wamekuwa viziwi na vipofu...wako radhi wananchi wauawe ili mradi wao wana billions....
hao wazee wamefanya kazi toka mkoloni then Tanu.. now hawawezi tafuna hata mshikaki ukarainikq lakini ukiwawekea pesa wapo tayari kukana dhamili zao.
 
Mpumbavu we, kawatishe watu wengine. Kwanza hakuna watanzania halisi (ambao ndo wengi) walio tayari kuandamana kwa hoja zenu mfu nyumbu nyie! Hata hivyo, jaribuni muone
ili ujitofautishe na hao manyumbu ulipaswa japo utumie majina yako halisi ila sasa upo nyuma ya majina fake kitu ambacho hakikutofautishi na hao.
 
Baada ya kuandamana?nini kinafuata?
Organisers huko Insta Tiktok na X wawe makini nimewasikia wengine wakisema wananchi wasifungue maduka yao wasifanye biashara zao siku hiyo nadhani that's wrong.

Kuvamia property kupora maduka ya raia wenzetu sio poa.

Maandamano yanatakiwa yawe ya Amani na polisi wakitumia nguvu kupita kiasi wao ndio tunatakiwa kudili nao
 
Unasema kweli au unawavuruga polisi kisaikolojia? Maandamano yatoke wapi nchi hii na njaa yote hii? Umasikini ni mkubwa mno kiasi kwamba wananchi hawana muda wa kufuatilia mambo ya siasa. Hii nyomi ya ccm inayojaza viwanja ni manuever tu wanayofanya chama hicho, kama si kutumia mbinu nyingi kujaza viwanja hawatapata watu wa kujaza viwanja. Wananchi hawana shobo na mambo ya siasa kutokana na umasikini, wako bize kutafuta mkate wa siku, sembuse kujitokeza kwenye maandamano hayo?
 
hao wananchi ambao hawana shobo na siasa kwasababu ya njaa..wanasema njaa yao imesababishwa na wao kuipenda siasa,ama?.
 
Back
Top Bottom