Hofu imezidi upande wa CCM

Ongezea na kuigawa hii nchi kikabila. Kwamba eneo fulani hawakunipa kura nami siwapi maendeleo. Lakini kodi una kusanya kutoka kwao..
 
Hawa wameshalipwa pesa yao yote hizo hoja zilizobaki Ni nyepesi mno
Watu tunataka tujue mtafanya kipi kikubwa kuliko ccm katika masuala ya kuweka mkate mezani
Hawajalipwa acha uongo
 
Hahhahaha.. Uchaguzi huu ni nwepesi sana kwa ccm
Mpaka Sasa majimbo 50 ya Zanzibar walishapoteza, Lisu mwenyewe Yuko anaongea kinyaturu barabarani keshapoteza mwelekeo,
 
Unajua kabisa huu si wakati wa kupiga kampeni, ndio maana wa Upande wa pili wame kunyamazia.
 
Hawa wameshalipwa pesa yao yote hizo hoja zilizobaki Ni nyepesi mno
Watu tunataka tujue mtafanya kipi kikubwa kuliko ccm katika masuala ya kuweka mkate mezani
Mbona mnakuwa waongo kupindukia? Baba wa uongo ni shetani,hivyo wewe ni mfuasi wa shetani. Watu bado wanadai mpaka jana,wewe unakuja na mauongo yako. Nendeni huko chini muone ukweli ndio muandike,sio uongo uongo tuu.

Mimi vijana wangu wanadai si chini ya 260 Milioni,na kuna korosho za msimu uliopita tani 86 zipo ghalani hazijapata mnunuzi. Mmeharibu mfumo wa maisha ya wanufaika na mnyororo wa thamani wa biashara ya korosho.
 
Nidhamu kazini au uoga kazini?

😂😂 hili la nidhamu kazini weka pending maana halina kura
 
Wanajaribu kuwaza watakachosema kipya kwenye kampeni hawakioni maana ilishakuwa ngonjera sasa.

Kila wakikaa vichwa vinauma.😅😅
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tanzania bhana, mkuu na mwandiko wako huu na wewe wanakulipa hizo buku 7?
Ccm kweli hamjielewi
 
Nidhamu kazini hakuna watu wanaogopa kuuwawa au kupotezwa tu. Madaraja, reli, barabara hata hospitali Mjerumani alijenga. Mpaka Ikulu ya DSM ilijengwa na mjerumani
 
Ili iendelee kukandamiza watumishi wa umma.
 
Nidhamu kazini hakuna watu wanaogopa kuuwawa au kupotezwa tu. Madaraja, reli, barabara hata hospitali Mjerumani alijenga. Mpaka Ikulu ya DSM ilijengwa na mjerumani
Tunaunafiki mbaya sana watanzania na namna hiyo tutabaki tunalag behind kwa muda mrefu sana...kila kilichopo leo mjeruman ndie kajenga.....
 
Safarii hii kila mmoja ashinde mechi zake, Kule Ruangwa Lindi kwa Majaliwa wanapambana kuhakikisha Majaliwa anapita bila kupingwa, ni uhuni mkubwa sana, chama kama CCM kinaogopa kushindana kwenye debe.
Kwenye kuchukua fomu za ubunge za CCM hakuwa na mpinzani. Walihakikisha hapingwi
 
Unajua km vyombo vya dola vinaish kwa amri yaan akuna siasa kule wakipigiwa simu kuwa waende sehemu fulan kutawanya maandamano wanatakiwa kujibu ni YES SIR kinachofuata ni kufika eneo husika na kuanza kutoa kisagp ikitokea askar mmoja akasaliti au askar kadhaa wakasalit amri atapelekwa nyuma ya pazia uko sasa kinachofanyika atapokea dozi mara 10 ya zile alizotakiwa kutoa kwa waandamanaji na hii huwatisha sn askar wengine askar wengine hivyo wanakua hawana jins wao ni kutii amri tu hata km ni bull shirt order

MJIPANGE CCM SIO RAHIS KUITOA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…