Hofu imezidi upande wa CCM

Hofu imezidi upande wa CCM

CCM ni mchezaji mzoefu, anajua namna ya kupiga magoli, ni mfano wa Ibrahimovic, yeye na nyavu ndiyo maisha yake.CCM na uchaguzi ndiyo maisha. Sasa hivi wako underground siku wakiibuka watakuwa wamemaliza ligi, watakuimbia kale kawimbo ka; CCM mbele kwa mbele
 
Unajua km vyombo vya dola vinaish kwa amri yaan akuna siasa kule wakipigiwa simu kuwa waende sehemu fulan kutawanya maandamano wanatakiwa kujibu ni YES SIR kinachofuata ni kufika eneo husika na kuanza kutoa kisagp ikitokea askar mmoja akasaliti au askar kadhaa wakasalit amri atapelekwa nyuma ya pazia uko sasa kinachofanyika atapokea dozi mara 10 ya zile alizotakiwa kutoa kwa waandamanaji na hii huwatisha sn askar wengine askar wengine hivyo wanakua hawana jins wao ni kutii amri tu hata km ni bull shirt order

MJIPANGE CCM SIO RAHIS KUITOA
Tukutane October
 
Hawakutegemea mashambulizi ya upinzani yatakuwa hivi ,hawajui hii faida Yao ya kuzuia mikutano ya vyama vya siasa kwa miaka mitano ,watulie tu dawa iingie na bado yapo mengu Sana ya kusema na CCM hawatakuwa na majibu kamwe.
 
Unajua km vyombo vya dola vinaish kwa amri yaan akuna siasa kule wakipigiwa simu kuwa waende sehemu fulan kutawanya maandamano wanatakiwa kujibu ni YES SIR kinachofuata ni kufika eneo husika na kuanza kutoa kisagp ikitokea askar mmoja akasaliti au askar kadhaa wakasalit amri atapelekwa nyuma ya pazia uko sasa kinachofanyika atapokea dozi mara 10 ya zile alizotakiwa kutoa kwa waandamanaji na hii huwatisha sn askar wengine askar wengine hivyo wanakua hawana jins wao ni kutii amri tu hata km ni bull shirt order

MJIPANGE CCM SIO RAHIS KUITOA
ila mkuu elewa pia mahakama ja kijinai ipo so yote kwa yote kama busara haitatawala watu wajiandae vizur tu na mawakili wa kutosha tz sio kijiji na uchaguzi wa mwaka huu sio wa kitoto at maana wapinzani mwaka huu wanatafuna kila sehem na wamejipanga na kauli zao tu zinaonesha wajipanga sawasawa
 
Back
Top Bottom