LESIRIAMU
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 9,213
- 14,924
Ongezea na kuigawa hii nchi kikabila. Kwamba eneo fulani hawakunipa kura nami siwapi maendeleo. Lakini kodi una kusanya kutoka kwao..Baada ya Tundu Lissu kuwasili nchini na kuanza kuwaelimisha wananchi kuhusu uongo na maigizo ya awamu ya tano, pamekuwa na sintofahamu nyingi upande wa chama dola CCM. Pamekuwa na matamko toka kwa viongozi mbalimbali mfano nimesoma kuhusu mgombea ubunge wa CCM jimbo la Ruangwa ndugu Kassim Majaliwa akipangia wagombea urais lipi waseme na lipi wasiseme...