Karina Member Joined Jun 17, 2011 Posts 51 Reaction score 16 Jun 20, 2011 Thread starter #21 bacha said: hodi gani hiyo karina mpaka chumbani mpendwa? wewe huoni bado tunavaa misuli hapa..............? anyway, pitia basi mlango ule wa uani kuna mtu atakupokea huko!!!!!!! Click to expand... Asante wmaya mi naingia ila nitakayoyaona nitayaacha hapo hapo usiwe na wasi was
bacha said: hodi gani hiyo karina mpaka chumbani mpendwa? wewe huoni bado tunavaa misuli hapa..............? anyway, pitia basi mlango ule wa uani kuna mtu atakupokea huko!!!!!!! Click to expand... Asante wmaya mi naingia ila nitakayoyaona nitayaacha hapo hapo usiwe na wasi was
Karina Member Joined Jun 17, 2011 Posts 51 Reaction score 16 Jun 20, 2011 Thread starter #22 Gaga said: Angalia mkono wako wa kulia kwenye kila post kumeandikwa reply with quote ubofye hapo kama unamjibu mtu post yake, sawaaa eeee mama Click to expand... Asante mama nimeshaona asante sana
Gaga said: Angalia mkono wako wa kulia kwenye kila post kumeandikwa reply with quote ubofye hapo kama unamjibu mtu post yake, sawaaa eeee mama Click to expand... Asante mama nimeshaona asante sana
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,832 Reaction score 13,798 Jun 20, 2011 #23 Karibu sana,mbona mkwara mkubwa?
giningi Member Joined Jun 12, 2011 Posts 52 Reaction score 27 Jun 20, 2011 #24 mwe labda anaona hamna faida anafua wanachafua wengine tu!
Gagurito JF-Expert Member Joined Feb 11, 2011 Posts 5,600 Reaction score 811 Jun 20, 2011 #25 karina ulibisha hodi, twakufungulia kumbe umeshaondoka. Umerudi tena? Karibu bwana!
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,709 Jun 24, 2011 #26 karibu sana jamani.
TUKUTUKU JF-Expert Member Joined Sep 14, 2010 Posts 11,763 Reaction score 4,047 Jun 24, 2011 #27 Karibu sana mkuu!!