Hodini humu jamani

Karina

Member
Jun 17, 2011
51
16
Jamani nabisa hodi naombeni mnipokee hivi nilivyo. Nilikuwa tu msomaji ila sasa hivi nimevutiwa na mimi nataka kuchangia lakini naombeni msiniulize haya yafuatayo
1. Kwanini hufui boxes za mumeo
2. kwanini unasoma meseji kwenye simu ya mumeo
 
Mbona umeanzia MMU? nadhani hii thread ingepelekwa introduction forum...
 
Karibu sana na utasaidie majibu ya hayo maswali maana wayajua weye
 
Karibu,kuhusu kusoma sms kwenye sim kuna thread inazungumzia hayo nenda kajionee!
 
Jamani nabisa hodi naombeni mnipokee hivi nilivyo. Nilikuwa tu msomaji ila sasa hivi nimevutiwa na mimi nataka kuchangia lakini naombeni msiniulize haya yafuatayo1. Kwanini hufui boxes za mumeo2. kwanini unasoma meseji kwenye simu ya mumeo
Karina karibu sana, kwa kua hautaki hayo maswali ngoja nikuulize haya 1. Je ni lin utaacha tabia yako ya kimcharuko na kimapepe?2. Kwanin penda unafanya mapenz bila kutumia kinga (kondomu) na lile njemba?
 
Jamani nabisa hodi naombeni mnipokee hivi nilivyo. Nilikuwa tu msomaji ila sasa hivi nimevutiwa na mimi nataka kuchangia lakini naombeni msiniulize haya yafuatayo
1. Kwanini hufui boxes za mumeo
2. kwanini unasoma meseji kwenye simu ya mumeo

hodi gani hiyo karina mpaka chumbani mpendwa?
wewe huoni bado tunavaa misuli hapa..............?

anyway, pitia basi mlango ule wa uani kuna mtu atakupokea huko!!!!!!!
 
hahahahahaaaaa wewe dada ndio walewale wavivu eee, shauri yako ngoja afuliwe huko ndo utajuta, karibu sana pita mpaka ndani tena wewe unaonekana mkulima umefika wakati tunakula
 
Karibu, majibu ya maswali yko unayajua kwani kwa mujibu wa maelezo yako wewe ni mfuaji mzuri, waelimishe wenzio umuhimu wa kufua
 
Asante mwaya nimeshakaribia afuliwe tu kwani miaka yote 30 alikuwa anafuliwa na nani?
 
Asante wmaya mi naingia ila nitakayoyaona nitayaacha hapo hapo usiwe na wasi was
 
Asante mwaya wazima kabisa nitokako ila kazi bado ipo kwenye kufua Boxes:A S 114:
 
hahahahahaaaaa wewe dada ndio walewale wavivu eee, shauri yako ngoja afuliwe huko ndo utajuta, karibu sana pita mpaka ndani tena wewe unaonekana mkulima umefika wakati tunakula

Asante mwaya nimeshakaribia afuliwe tu kwani miaka yote 30 alikuwa anafuliwa na nani?
 
Asante mwaya wazima kabisa nitokako ila kazi bado ipo kwenye kufua Boxes:A S 114:
Angalia mkono wako wa kulia kwenye kila post kumeandikwa reply with quote ubofye hapo kama unamjibu mtu post yake, sawaaa eeee mama
 
karibu sana Karina, wazima utokako?

Asante mwaya wazima kabisa nitokako ila kazi bado ipo kwenye kufua Boxes
A%20S%20114.gif
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom