Hodiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii iii

Karibu sana; hebu kwanza tupe ile ID yako ya siku zote hapa kisha ukatuambie kwamba hadi sasa unayo nyeti gani iliokufanya kufungua Hhiyo ID mpya.
 
Bwanae, kama unayo nyeti fulani iliokusukuma kubadili ID yako hebu katumwagie hapa. Hii mambo ya kuzunguka zunguka huwaga si mazuri hata kidogo.
 
Bwanae, kama unayo nyeti fulani iliokusukuma kubadili ID yako hebu katumwagie hapa. Hii mambo ya kuzunguka zunguka huwaga si mazuri hata kidogo.

Nyeti zipo kibao, kuna Diwani mmoja wa humu jijini chadema ana kula rushwa balaa! haki ya nani akivuka mwaka huu kabla ya kunaswa na TAKOKURU niiteni mwongo!
 
Mambooooooo, mambo aaahh!!

Ni yale yale tu Sepetu kutembelea Magogoni, Balozi wa Nyumba 10 ni mpaka mtu uwe WA-KIJANI kama Dr Banna (Katiba ya CCM, 2012), Tanzania sasa mrithi wa biashara za Irani kule High Seas na mambo kama hayo tu!!

Asante sana! vipi mambo yana endaje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom