hodiiiiiii wanajf mgeni na omba kukaribishwa

oh karibu sana...ukitaka mgegedo wee notafute tuu
 
huu ukaribisho kiboko mmh. Hivi miss judith alipopata mume tu (Glory to God) akapigwa ban? Usikute Paw alikuwa anamtolea macho (l'aziz nakuamini ila hainizuii kukulinda manake nakupenda tuuu)
 
Last edited by a moderator:

Hivi Paw mlikutana humu humu au?
 
Abiria chunga mzigo wako, hasa unapokuwa unamgongea like Konnie.

Yaani siku hizi poo ananipendaje? Kila nachoandika anaLike.

huu ukaribisho kiboko mmh. Hivi miss judith alipopata mume tu (Glory to God) akapigwa ban? Usikute Paw alikuwa anamtolea macho (l'aziz nakuamini ila hainizuii kukulinda manake nakupenda tuuu)
 
Last edited by a moderator:
karibu ila mm mwenywe mgeni sijaja hata pakuingilia karibu sana
 
++
Karibu japo nami sio mwenyeji sana..kiti hichi pembeni yangu kaa!
++
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom