hodiiiiii!

Elijah

JF-Expert Member
May 28, 2012
1,663
415
habari zenu Great thinkers??
Waama baada ya salamu,napenda kuomba kukaribishwa rasmi JF,home of great thinkers
 
Wewe nae si ungesubiri eid ipite kwanza?........ndio nini kwenda kwa watu siku za sikukuu?

Haya karibu ila usiingie ndani kwanza mpaka Katavi aje akuruhusu........hayo mabegi mpe Ulimakafu akusaidie kuweka ndani!
 
Last edited by a moderator:
Karibu sana kwa niaba ya sweetlady nakurusu uingie ndani, ila soma kwa makini sheria na kanuni zetu hapo nyuma ya mlango.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom